Ona mwenyewe TWIGA wetu wanvyotumika kwao...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
mxcpfunny_pictures_zoocop.jpg
Kumpanda huyu $ nyingi tu...
 
Anakuaje twiga wenu? Upuuzi huu


UOTE=Kanyapini;4677376]Una maana gani hapo kwa RED?[/QUOTE]
 
Uwe makini unapoandika mambo yanayohusu wanyama na binadamu.

nadhan anapaswa kuwa makini kwenye uteuz wa maneno,maana moja ya mambo yanayosababisha utata kwenye tungo ni
-NENO KUWA NA MAANA ZAIDI YA I
-KUTOZINGATIA KANUN ZA UANDISHI
-ATHAR ZA LUGHA MAMA(ZA MAKABILA)
 
nadhan anapaswa kuwa makini kwenye uteuz wa maneno,maana moja ya mambo yanayosababisha utata kwenye tungo ni
-NENO KUWA NA MAANA ZAIDI YA I
-KUTOZINGATIA KANUN ZA UANDISHI
-ATHAR ZA LUGHA MAMA(ZA MAKABILA)
Niambieni sasa bwn wenuu au mnaniogopaa!!
Weka uandishi sahihi ungekuwaje? Tofauti na KUPANDA??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom