Mbunge mteule wa CCM Saul Henry Amon Jimbo la Rungwe kipaumbele chake cha kwanza ni elimu, ataanza kusomesha watoto wawili wawili kila kata. Atawasomesha wa sayansi kwa ajili ya madaktari.
Hapa ndo swali linakuja hivi, ahadi za Magufuli ni ELIMU BURE MPAKA KIDATO CHA NNE! Maana'ke kuanzia kidato cha tano na kuendelea ni malipo.
Je, atawalipia mpaka kiwango gani cha elimu? Kigezo ni kipi cha kuwachagua atakaosaidia? kwanini pasiwepo na sera ya kitaifa kuwa serikali itoe ELIMU BURE?
KUWALIPIA WATOTO WAWILI WAWILI ITAKUWA MBINU YA KULIPANA FADHILA KWA WAPIGA CAMPAIGN WAKE!