Ona Magufuli alivyocheza ‘MAPANGA’ ya TMK

Ukabila unakusumbua pumbafu la mamtoni.Ungekosa exposure wew ungekua ka zombie.Eti he can dance...so what..kwan watanzania wanataka dancer....what a foolish fool
Acha kutufokea,

Hatujakutuma ushabikie hilo chama lako la familia
 
Wewe lofa mbeba box tazama umri unaenda huoo bado akili imedumaa huko ulaya unaishi kihasara ndiyo maana hujitambui....wajanja wa ulaya tunawajua kwajins wanavyopiga biashara lkn ww kazi yako nikushikilia ukuta Tu.
Mtu mjinga utamuona Tu Kwa mwandiko wake inatosha Ila wewe utaishia kuandika kiingereza kibovu basi ilimradi maisha yanaendelea
🤣🤣🤣

Mimi nipo ulaya?

Makamanda bana 🤣🤣

Mna IQ ndogo sana nyie.
 
Hizo ni mambo ya kawaida sana na hatutarajii kama Wananchi kuona level ya Rais kufanya hivyo.

Tuna hitaji mambo ya Msingi ,atwambie aliko shindwa na kwa nini achaguliwe tena..
Sasa wewe utayasikiaje wakati akili zako zote umemkabidha Lisu
 
Wewe lofa mbeba box tazama umri unaenda huoo bado akili imedumaa huko ulaya unaishi kihasara ndiyo maana hujitambui....wajanja wa ulaya tunawajua kwajins wanavyopiga biashara lkn ww kazi yako nikushikilia ukuta Tu.
Mtu mjinga utamuona Tu Kwa mwandiko wake inatosha Ila wewe utaishia kuandika kiingereza kibovu basi ilimradi maisha yanaendelea
Huku kupanic kwako kutamsidia Lisu kupata kura?
 
Back
Top Bottom