Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
- Thread starter
- #41
Onyesha sehemu nilipojifanya mjuaji.Ulieanzisha uzi huu huwa mjuaji sana punguza ufwala
Onyesha sehemu nilipojifanya mjuaji.Ulieanzisha uzi huu huwa mjuaji sana punguza ufwala
Hivi nawe unajadiliana hapa?Inaonesha hausomi na uka elewa tunacho jadiliana mpaka ikafika hapa ilipo fikia ,jifunze kujadiliana bila ya maneno machafu.
Eti maendeleo hayana vyama!Sawa Mkuu ,kama hizi ndio Sera basi sawa .
View attachment 1557616
Kishuzi unarukaruka tuKwahiyo wale wanaoshangilia pale kwa Lisu ni mazombie?
Inaonesha hausomi na uka elewa tunacho jadiliana mpaka ikafika hapa ilipo fikia ,jifunze kujadiliana bila ya maneno machafu.
Hahaaa..... 🤣🤣🤣🤣😁😆😅😀😜😋 Kwi kwii kw.