Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p..............Hawa wana nyimbo gani mpya? au wanaenda kuimba yale matusi kwa kushirikiana na mkuu wa sugu? Mtu kama Soggy ataimba nini sasa zaidi ya ule wimbo wake wa soggy mhaya sijui?> watu wanataka radha...zaby b alikosa ubunifu ndio maana soki likamtoa lenyewe sio clouds.. Nguvu nyingi sana...watu wanaenda kushangaa nini pale sasa wakti wadada wanamziki kama hao sijui kama bado wana pumzi ya kukimbizana na vijana wa sasa...
 
Hili ndilo genge litakalo mmaliza yule mtoto wa Kihaya Ruge Mutahaba!
virus.jpg
 
Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p..............Hawa wana nyimbo gani mpya? au wanaenda kuimba yale matusi kwa kushirikiana na mkuu wa sugu? Mtu kama Soggy ataimba nini sasa zaidi ya ule wimbo wake wa soggy mhaya sijui?> watu wanataka radha...zaby b alikosa ubunifu ndio maana soki likamtoa lenyewe sio clouds.. Nguvu nyingi sana...watu wanaenda kushangaa nini pale sasa wakti wadada wanamziki kama hao sijui kama bado wana pumzi ya kukimbizana na vijana wa sasa...
kwakuwa hiyo mitusi hawatukanwi washabiki mzuka tu!vipi we ni muathirika wa hiyo mitusi?
 
Kwani kibali wamesha pewa? Maana Kova kwa fitina simuwezi hakawii kusema taarifa za kiintelejinsia zimegundua Al shabab wapo watawakosesha watu amani
 
Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p..............Hawa wana nyimbo gani mpya? au wanaenda kuimba yale matusi kwa kushirikiana na mkuu wa sugu? Mtu kama Soggy ataimba nini sasa zaidi ya ule wimbo wake wa soggy mhaya sijui?> watu wanataka radha...zaby b alikosa ubunifu ndio maana soki likamtoa lenyewe sio clouds.. Nguvu nyingi sana...watu wanaenda kushangaa nini pale sasa wakti wadada wanamziki kama hao sijui kama bado wana pumzi ya kukimbizana na vijana wa sasa...

mkuu umemaliza vinega they are nothing rather than .. poor pathetic loosers ambao they are sooooo yesterday ...

Kwenye hii tread kuna kitu nimejifunza. Watanzania ni watu wa ajabu, inaweza ikawa mtu fulani ni mwizi, gaidi, na mwenye kila aina ya uchafu wa dhahiri kabisa, lakini ndani ya jamii hiihii akawa na watu wanaompenda na kumuunga mkono kwa vitendo vyake hivyo.

Mathalani ugomvi wa Sugu na Ruge uko wazi kabisa, kwamba Ruge anawakandamiza wasanii na pia aliingilia mradi wa malaria ambao kimsingi ulikuwa ni mkono wa Sugu, lakini bado tunaona watu hapa wanaunga mkono. Sasa mimi nashindwa kuelewa, watu hawa ni kwamba hawajui chanzo cha ugomvi huu, au hawaoni kama ni sababu ya msingi?
 
(Nimeipenda sana hii,yaani sisi watanzania ni wanafiki wa kutupwa,hao hao wanaosapoti kwa huyo m'baya ndio wanaoleta ubaya wa huyo mtu,acheni unafiki wa kimaskini,kama haki dai haki yako bila woga,unadhulumiwa aafu unakaa kimya na kusemea mitaan ambako husikiki.huu ni wakat wa kuungana kwa wale wote walokuwa wakipiga kelele kwamba wanadhulumiwa wadai haki yao sasa,nawashangaa wanamkamata mwizi badala ya kumwajibisha eti wanamwonea aibu eti wanamsamehe na atajirekebisha. Sugu go go goooooo! Wataelewa tu,mbona awali walisema mziki uhuni na ukakomaa had umefika hapo ulipo,me naamin utashnda tu!
 
Mabaga fresh, suma g, sogy dogy, zay b, sister p..............Hawa wana nyimbo gani mpya? au wanaenda kuimba yale matusi kwa kushirikiana na mkuu wa sugu? Mtu kama Soggy ataimba nini sasa zaidi ya ule wimbo wake wa soggy mhaya sijui?> watu wanataka radha...zaby b alikosa ubunifu ndio maana soki likamtoa lenyewe sio clouds.. Nguvu nyingi sana...watu wanaenda kushangaa nini pale sasa wakti wadada wanamziki kama hao sijui kama bado wana pumzi ya kukimbizana na vijana wa sasa...

Nimesahau kidogo, hebu nikumbushe nyimbo mpya za DMX vile!
 
ant VIRUS, ya VINEGA sasa imeanza kuleta mafanikio pale ambapo lengo lake ni kufuta unyonyaji unao fanywa na ruge, hii ni kutokana na ukweli kuwa ruge kwa woga kesha walipa wasanii wote watakao kuwepo kwenye onyesho la DMX alilo andaa, onyesho ilo litakuwa siku moja na lile ANTIVIRUS.
karibu kwenye shoooo ya ukweli ANTV
 
kweli maana hata wasanii waliosahaulika sasa wamekumbukwa! Ruge kama Tanesco alivyoushikilia muziki!
 
Mapinduzi yameshaanza kuonekana, hadi wale wasanii waliokuwa wamewekwa kapuni kama wakina afande sele, gangwe mob, lwp, manzese crew wiki hii yote nyimbo zao zimeanza kupigwa tena...
 
ant VIRUS, ya VINEGA sasa imeanza kuleta mafanikio pale ambapo lengo lake ni kufuta unyonyaji unao fanywa na ruge, hii ni kutokana na ukweli kuwa ruge kwa woga kesha walipa wasanii wote watakao kuwepo kwenye onyesho la DMX alilo andaa, onyesho ilo litakuwa siku moja na lile ANTIVIRUS.
karibu kwenye shoooo ya ukweli ANTV

wamelipwa elfu ngapingapi?
 
Ni kweli mkuu. mabadiliko yameanza kuonekana. sasa hivi wanazunguka na magari wakitutangazia twende leaders. leaders kwenyewe kunanuka ile mbaya.halufu inatoka pale dalajani. Watakao enda wana roho ngumu au pua zao hazifanyi kazi. karibuni kinyama wanachemba tunapo kaa. kwanza kule leaders ukilewa huwezi pata sehemu ya kupumzika hakuna guest wala hotel, njoo kinyama sasa..!!weweeee...!!. sasa hivi kuna hotel mpya inaitwa SAFINA. halafu ukitokwa kwa vinega ni lahisi kwenda ambiance, sansiro, masai nk. mia
 
Hawajalipwa cash ila wameambiwa sasa hivi wao na ma underground wengine nyimbo zao zitakuwa zinapigwa mara kwa mara. Mwanzo walikuwa na wasanii wao maalum tu.
 
Back
Top Bottom