Ona faceboook anavyokimbizwa...

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,061
545
428.gif

 
kufikia 2016 mwishoni G+ watakuwa na users zaidi ya Facebook. Kama unavyojua 90% ya mapato ya facebook yanatokana na adverts, miezi kumi na mbili ijayo 53% ya digital marketers wataamia G+.

kwa hiyo mtoa mada hadanganyi.
source:huffingtonpost
kim garst, Social media and brand strategist, [h=1]Social Media Marketing World 2014 - 5 Trends You want to Jump on NOW![/h]
 
Ooyooo hii kwa watoto wa kizungu watakuwa wanaipenda hii picha lakini kwa watoto wa kibantu NO labda ni dona na mandondo na kipande cha nguru na hapo ni kitumbo juu
 
Back
Top Bottom