On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012

Zitto ni kichwa but Nchemba ametumia vyema kukihusicha chama na vijimafanikio kidogo vya serikali. Nchemba has done the best for his party
Not only the best kwa CCM, pia amemwaga sumu kuhusu Chadema kupanga mauaji kwenye maandanano/mikutano na kuiwekea caveat ZZK asijibu kwa kisingizio tumeshawasilisha vielelezo kunako husika, na ZZK had nothing to counter!, kwa vile so far, hakuna kesi yoyote ya ugaidi inayowahusu Chadema iliyokwisha funguliwa, ZZK should have counter attack spontaneously ili kumzua Mchemba asiendeleze huo uzushi mpaka hiyo kesi itakapo funguliwa!. Hivyo kilichobaki kwa wananchi ni one side story ya Mchemba!.
P.
 
Ndg Yahya Mohamed umesema tusizungumze maswala binafsi,je maswala aliyokuwa anayazungumza ya cdm kupanga mauji yanaendana na maada husika hapo mezani?au ndiyo mkuki kwa nguruwe.

Zito responded well kama umefuatilia mjadala, kama moderator kazi yangu ni kulink mjadala na kuibua issue as per topic si kushabikia upande wowote
 
Hakuna lolote hapo, hata topic yenyewe imekaa kutumiwa, mijadala kama hii waandishi wakawaida hamuiwezi, kama mtanataka tufuatilie mijadala leteni kile kipindi cha Tanzania tunayoitaka na dada Rosemary Mwakitwange, hii mijadala inataka mtu msomi, jasiri na muelewa sio waandishi waliotumwa kuiuza CCM na masalia yake, mualiko huu wape wakina farijala na wale wapiga kura wa Arusha waliofungua kesi ya Lema. Hii ndio maana uandishi haukui,

Nakupa LIKE ya neno!
 
Kwa tunaomuelewa nchemba,lile shosti ni bonge ya janga la ccm ukilinganisha na ulimbukeni wake ndiyo kabisaa.
 
Nimefuatilia mjadala wote tena kwa makini sana, nimethibitisha kile nilicho ambiwa kabla na Crew member wa hicho kipindi kuhusu mtangazaji Yahaya Selemani.

Yahaya amekuwa selective sana kwenye Kuchukua maswali hapa JF, na kuna drama fulani ameifanya kati yake yeye, Zitto na Mwigulu na member fulani fulani hapa JF. Wajanja tulishashtukia kabisa tena mapema.
''It looks like he cooks something before''

Yahaya jirekebishe la sivyo utakuja kuumbuliwa kama Pasco, Kibonde, Kibanda nk
Mkuu TanganyikaTanu, kwa kunisaidia kwa ukweli na uwazi, hebu unikumbushe mimi Pasco nimeumbuliwa wapi?. Kunilinganisha na Kibonde naona ni kama kunitukana!, ukiweza kunifafanulia japo kidogo nitakushukuru sana!.
 
Mkekuu nakubaliana nawe mia kwa mia. Yahya ameshindwa kumdhibiti Mwigulu azungumzie mada iliyokuwepo mezani na matokeo yake kavuruga mjadala wote na kuuhamishia kusikohusika.
Mkuu usishangae kabisa, ile kitu alishapangwa kabisa.
They know what they are doing.
Mwigulu sio mjinga alijua alichotumwa na nini anatakiwa kukifanya.
He did what he supposed to do.
It is a typical drama.
 
Last edited by a moderator:
hao ndio level moja, wote ni manaibu makatibu wakuu!. Kinana ni level ya Dr. Slaa, na Lipumba ni size ya Mbowe na JK!.

P.

Unanikumbusha Mkurugenzi wa coke na wa Pasco entertainment. Kweli CDM wako mbali sana ingawa CCM ndo walianza ila mipangilio ndo mibovu
 
Ahasante sana hili nimeliona Mkuu na nimekwazwa na michango mingi ambayo nilijua ingeutoa mjadala katika nanga, kama umemsikiliza vema ZITO Kabwe aliweka angalizo zuri ambalo bahati mbaya wakati mwingine ni vigumu kusoma mawazo ya mchangiaji mwingine.

Kweli mkuu, Zitto alijaribu sana kuurudisha mjadala mahali pake lakini wenzake hasa Mwigulu Nchemba akaendelea kuuharibu kwa kufanya propaganda badala ya kuzungumzia masuala ya msingi, tena yaliyokuwa mezani.
 
Last edited by a moderator:
Nchemba huku arumeru alitoa matusi yote yalituudhi tukaamua kutoipa ccm kura polisi 2013 wafanyekazi kwa weled wao
 
Mkuu Bluetooth, basi wewe ni school mate wangu japo tunaweza kuwa miaka tofauti ila na mimi ni kijana wa Bino
nimepiga A-level pale nikiwa ndie mwanafunzi pekee kutoka Dar niliyepangiwa Oldonyo na kukukubali kuishi Oldonyo kwa miaka yote miwili!, wengine wa Dar, walihamia Kibo na Meru!.
P.

Mkuu Pasco Kibo Ndio ulikuwa Mpango Mzima kwa Wajanja. Oldongo na Rungwe walikuwa wanajazana Wamenye
 
Last edited by a moderator:
Nadhani huyu Chemba ataingia kwenye record za kuwa kiongozi wa CCM aliye na upeo mdogo zaidi...
 
Kukatika kwa Umeme kumefanya nikose kuona toka mwanzo. but mwisho nimemsikia Mtatiro Zitto na Machemba. Zitto amezungumza mambo ya msingi sana. katiba na muungano
Salaam wakuu,
Natumai sote ni wenye Jumapili Njema
Karibuni katika Mjadala utakaomulika matukio muhimu ya kisiasa kwa mwaka
2012 kuelekea 2013. Lengo ni kujipima katika siasa za Tanzania na
Ufanisi wake katika kuweka na kusimamia Agenda zinazohusu ustawi wa
Watanzania kwa kipindi cha mwaka 2012 na kama kuna dosari ni zipi na upi
mkakati wa wanasiasa katika uwanja wa siasa 2013

Wazungumzaji tuliowaalika katika Studio za Dar Es Salaam ni:

ZITTO KABWE
Mwigulu Nchemba na
JULIUS MTATIRO

Karibuni katika mjadala kwa kuwauliza maswali yanayohusu tathmini ya
masuala ya Kisiasa, Hoja binafsi ziwekwe nje ya mjadala huu.


Ahsanteni na Karibuni


Internet Live Link:
http://radiofreeafricatz.com/startv-live/
 
Niwashukuru Kwa michango Sana Wadau na tumekubaliana na Manaibu Katibu wakuu wazijibu hoja binafasi zote Jumatano, ndio maana nyingi sikuzisoma. Tutakuwa nao tena Jumatano wiki Ijayo Januari 2 2013

Kesho tutakuwa na MPOKI MWAMBULUKUTU Senior JF Member Pamoja DR.KITILA MKUMBO

Januari Mosi Tutakuwa na JOHN MNYIKA na mwanasiasa Mwingine tutakayewatangazia baadaye kidogo

Ahsante sana the Invisibles on JF na wachangiaji wote

Mkuu @Yahya Mohamed

Utautendea Haki Mjadala kama utatuwekea

John Mnyika na Nape Nnauye

Kwa Kuanzia Nape ajibu hii hoja aliyoianzisha na kungia Mitini

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tokeo-ya-kukimbia-shule-masikini-chadema.html
 
Mkuu TanganyikaTanu, kwa kunisaidia kwa ukweli na uwazi, hebu unikumbushe mimi Pasco nimeumbuliwa wapi?. Kunilinganisha na Kibonde naona ni kama kunitukana!, ukiweza kunifafanulia japo kidogo nitakushukuru sana!.

Kwakweli kukuweka Pasco kundi moja na kibonde ni kushushia sana hadhi yako.
Pamoja na misimamo na mitazamo yako kwa Chadema kuwa controversial lakini kwa mtazamo wa haki hauko level moja na kibonde.
 
Last edited by a moderator:
Swali Kwa Mwigulu Nchema na Zitto: Wote mumezungumza na kuonyesha kuwa wazee wa nchi wa nchi hii are less worth. Je wazee wasishiriki katika siasa za nchi hii kuelekea 2013? Wakati mnajibu muwe mnazingatia idadi na uwiano wa wazee katika ngazi za juu kwenye vyama vyenu. Sitaki porojo tafadhari?

Yahaya kuliko swali la. Ritz ulilouliza ni bora ungeuliza hili la rwifima maana huyu ndiye GT kweli na swali halina itikadi zaidi ya kutafuta ushawishi ulipo
 
Mkuu TanganyikaTanu, kwa kunisaidia kwa ukweli na uwazi, hebu unikumbushe mimi Pasco nimeumbuliwa wapi?. Kunilinganisha na Kibonde naona ni kama kunitukana!, ukiweza kunifafanulia japo kidogo nitakushukuru sana!.

Kwakweli kukuweka Pasco kundi moja na kibonde ni kushushia sana hadhi yako.
Pamoja na misimamo na mitazamo yako kwa Chadema kuwa controversial lakini kwa mtazamo wa haki hauko level moja na kibonde. Kibonde yuko too low kwa kiwango kikubwa sana...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu TanganyikaTanu, kwa kunisaidia kwa ukweli na uwazi, hebu unikumbushe mimi Pasco nimeumbuliwa wapi?. Kunilinganisha na Kibonde naona ni kama kunitukana!, ukiweza kunifafanulia japo kidogo nitakushukuru sana!.
Why only Kibonde not Kibanda?

*Very Sorry kama nimekupa ufananisho usioutaka au usiokufaa.

*But siku zote watu humu JF wanakuchukulia wewe ni mchambuzi makini sana(Off Course ndivyo ulivyo) lakini hapo kabla walikuchukulia pia kama mtu asiyekuwa na upande wote na sometime wakakuweka kama mwanamageuzi fulani!!
But alivyokoroga mambo tu(Ulipoanza kutetea uvundo) ndio ngozi yako halisi ikaonekana, yaani ukajulikana wewe ni GAMBA tena wakununulika kabisa!!
The same scenario happened to Kibonde(2008), Kibanda(2012) etc
 
Back
Top Bottom