Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
Acha uzushi unaangalia TV ya aina gani..? geuza TV yako juu chini au geuza macho yako. Nape amewataka jamaa kuacha ku-generalize mambo na kutaja kila jambo katika uhalisia wake na akawa anawapa takwimu na data katika majibu yake alisema kuhusu watoto wa vigogo kisoma nje alisema kuwa yeye alifanya digrii yake akiwa india na kati ya watoto 300 mtoto aliyeitwa wa kigogo ni yeye peke yake, na akasema hakuna anayechagua kuzaliwa na mtu fulani na hivyo wasionewe watoto wa wanasiasa wakiamua kuwa wanasiasa, kwani kuna dhambi ipi wakiamua hivyo mbona haihojiwi kwa mtoto wa daktar kuwa daktar, lakini pia akasema katika waliojitokeza katika kuwania uongozi ndani ya chama zaidi ya watu 5000 na katika hao watoto wa vigogo hawakufika 20 na katika hao wengi wamekosa nafasi.
Akasisitiza kuwa watu lazima wawe wanautaifa na watende haki, katika kuwaeleza watu fulani ama kukosoa jambo fulani, amekiri kuwa chama kina mapungufu na ndio maana jkuna mikakati mbalimbali ya kuuhisha chama ili kukipa sura na nguvu mpya ya kiutendaji na muonekano.
Amezoea kuongea bila kupata upinzani,wakati anapotosha jamaa aliekaa pembeni hakumvumilia na alitaka kumjibu palepale(akasema niache nimalizie).ccm wamezoea upotoshaji sana kuwa muwazi,na hizi takwimu anazozitaja ni enzi hizo vipi kwa sasa hivi unaelewa au unawajua watoto wa viongozi walio ktk uongozi?Usipinge hata vinavyoonekana.