On Star TV - Nape afafanua mpango wa "kuhuisha chama"

Status
Not open for further replies.
Ccm ni chama imala sana kina mtandao nchi nzima sasa nyinyi cdm mnapo sema kwamba nape analialia nawashangaa sana hiki chama hakuna kinacho weza kukinyima usingizi hata siku mmoja wanao piga kelele wote ni wanaoshinda vijiweni bila kazi ukiwauliza wanasema kazi hakuna je hata shamba hamna nyie mnataka kazi za ofisini na shule mlikimbia sasa mnamngojea slaa aingie madarakani awateue kuwa mabalozi wa vijiweni angalia misri walitumiwa kama mnavyo tumiwa ninyi lakini leo wanalia na kusaga meno cha msingi nyote mlio nje ya ccm rudini ccm ili tuzidi kukijenga chama imala chama dume chenye uhakika wa kuongoza na sio kulalamika kila siku,
 
Nape ametoa mifano yenye nguvu za takwimu kuwa serikali inaelekea katika kujitegemea kwa kasi nzuri kwa kutoa takwimu kuwa serikali ya awamu ya nne imeingia madarakan ikiwa utegemezi wa bajeti ya Taifa ni asilimia 46 na sasa mwaka 2011 bajeti ilikuwa inautegemezi kwa asilimia 26 tu.,ndani ya miaka sita imepunguza utegemezi kwa asilimia 20, kasi hii ya sasa si ya kubeza na lazima wananchi watambue na wasupport juhudi hizi.

Haina maana na wala haitakuwa na maana kwa mtu kuongea bila kuzingatia takwimu na analysis ya mifano na hoja. Mwanasheria huyu ana walakini, na napata shaka juu ya elimu yake ya sheria, inawezekana anatafsir sheria kama ilivyotafsiriwa na shaban robert kwenye "kusadikika"

Tumesha zoea maneno ya Ccm. Yote maneno tu, subirni muone watekelezaji wakiingia apo Ikulu. Maneno maneno huwa ss hatupendi. Peoplezzzzzzzz!!!
 
- Huyu huenda hajui siasa, Serikali inakuwa ya Chama kinachotawala tu hakuna njia nyingine, kama anataka iitwe Serikali ya Chadema, asubiri uchaguzi ujao labda yanaweza kutokea maajabu ya Mussa, ingawa dalili za mvua huwa ni mawingu, yaaani Majuzi Chadema wameshindwa Uchaguzi wa MAdiwani tu, je wataweza Taifa?

Le Mutuz!!

Kuanzia jana nani anatumia hii ID ya le mutuz mbona sioni matusi. tuendelezee mazoea mkuu.

Sasa chadema wanaingiaje hapa na suala ka urais.? Man inamaana huwez chambua hoja bila kuihusha chadema.?
 
- Yaaani the fact kwamba CCM ndio chama tawala ninahitaji ku-quote anything? Ndio maana wananchi wanwachukia sana wanawapiga chini kwenye kata ni pamoja na kujifanya wasomi kumbe mnaongonzwa na form six tu!!

Le Mutuz!1

Nape kiboko, hata Le Mutuz nawe umeingia kwenye payroll?
Tahadhari Kwiro boy, chunga macho yako maana ajira ya 24/7 kwenye mitandao kujibu hoja za watu genuine ambao hawasukumwi na itikadi nyingine yoyote isipokuwa ni Uchungu wa nchi yao Tanzania kugeuzwa shamba la bibi... soon hawa GT watakuvua gwagulo lako plus G-Streeng yako then utabaki uchi milele...CCM mtegemee anguko la milele 2015
 
- Ndio maneno yenu kila mnaposhindwa mna maneno sana nyie Chadomo, tumia common sense wewe haiwezekani wabunge wengi wakwa wa CCM halafu aliyeshinda uchaguzi ni Chadema yenye wabunge 45, nonsense!!

Le Mutuz!

Ukiwa mzalendo huwezi kuandika kitu kama hii,ushindi wa ccm ktk chaguzi zote ni wizi wa kura/rushwa(wptuliwaona waliolalamika waziwazi).Jeshi la police na usalama wa taifa wanakisaidia chama cha ccm kwa hali na mali.Huo ni ushindi halali kweli?
 
- CCM ndio chama tawala, kama mnataka iwe Serikali ya Chadema jitahidini kushinda auchaguzi sio kupiga piga ramli hapa na maneno mengi ya kusadikika!!

Le Mutuz!
Ni serikali ya wananchi au serikali ya CCM? Kama akili za wanaCCM mnawadhani ni serikali ya CCM kumbe ndio maana mmelifikisha taifa katika hali tete iliyopo sasa hivi.
 
- Ndio maneno yenu kila mnaposhindwa mna maneno sana nyie Chadomo, tumia common sense wewe haiwezekani wabunge wengi wakwa wa CCM halafu aliyeshinda uchaguzi ni Chadema yenye wabunge 45, nonsense!!

Le Mutuz!
Siku hizi tumesha gundua mnatumia sera ya Chadema kuendesha nchi. Mtacheza ngoma ya Chadema tu daima.
 
Tunajadili MAITI ya CCM itazikwa kaburi lipi 2015.
CCM yenyewe tu inanuka rushwa
 
Kuanzia jana nani anatumia hii ID ya le mutuz mbona sioni matusi. tuendelezee mazoea mkuu.

Sasa chadema wanaingiaje hapa na suala ka urais.? Man inamaana huwez chambua hoja bila kuihusha chadema.?

- tUNAWAPA ZOTE KAMA HOJA SAWA MKIJA NA VIROJA NI ZA USO TU!1

Le Mutuz!!
 
- CCM ndio chama tawala, kama mnataka iwe Serikali ya Chadema jitahidini kushinda auchaguzi sio kupiga piga ramli hapa na maneno mengi ya kusadikika!!

Le Mutuz!
Nape ametoa mfano wa watoto wa vigogo waliobwagwa kwenye chaguzi za CCM,mfano pekee aliotoa ni wa mtoto wa Malecela.
 
Nape anataka kupigana studio,amebanwa sawasawa
Acha uzushi unaangalia TV ya aina gani..? geuza TV yako juu chini au geuza macho yako. Nape amewataka jamaa kuacha ku-generalize mambo na kutaja kila jambo katika uhalisia wake na akawa anawapa takwimu na data katika majibu yake alisema kuhusu watoto wa vigogo kisoma nje alisema kuwa yeye alifanya digrii yake akiwa india na kati ya watoto 300 mtoto aliyeitwa wa kigogo ni yeye peke yake, na akasema hakuna anayechagua kuzaliwa na mtu fulani na hivyo wasionewe watoto wa wanasiasa wakiamua kuwa wanasiasa, kwani kuna dhambi ipi wakiamua hivyo mbona haihojiwi kwa mtoto wa daktar kuwa daktar, lakini pia akasema katika waliojitokeza katika kuwania uongozi ndani ya chama zaidi ya watu 5000 na katika hao watoto wa vigogo hawakufika 20 na katika hao wengi wamekosa nafasi.

Akasisitiza kuwa watu lazima wawe wanautaifa na watende haki, katika kuwaeleza watu fulani ama kukosoa jambo fulani, amekiri kuwa chama kina mapungufu na ndio maana jkuna mikakati mbalimbali ya kuuhisha chama ili kukipa sura na nguvu mpya ya kiutendaji na muonekano.
 
Kwa hiyo mtu wa form six ana akili ndogo?na vp aliye chini ya form Six kama Mbunge wako Lusinde si ndo utamwita mbumbumbuu?ndio yule Lusinde aliyemtoa Mzee madarakani
- Then how come bado ni Serikali ya CCM na hiyo Arumeru yako, unaona akili ndogo inapoongozwa na akili ndogo sana ya from six, yaani jimbo moja ndio nini sema sera kama mnazo za kushinda Taifa maana kwenye kata wananchi wamezikataa!

Le Mutuz!!
 
Acha uzushi unaangalia TV ya aina gani..? geuza TV yako juu chini au geuza macho yako. Nape amewataka jamaa kuacha ku-generalize mambo na kutaja kila jambo katika uhalisia wake na akawa anawapa takwimu na data katika majibu yake alisema kuhusu watoto wa vigogo kisoma nje alisema kuwa yeye alifanya digrii yake akiwa india na kati ya watoto 300 mtoto aliyeitwa wa kigogo ni yeye peke yake, na akasema hakuna anayechagua kuzaliwa na mtu fulani na hivyo wasionewe watoto wa wanasiasa wakiamua kuwa wanasiasa, kwani kuna dhambi ipi wakiamua hivyo mbona haihojiwi kwa mtoto wa daktar kuwa daktar, lakini pia akasema katika waliojitokeza katika kuwania uongozi ndani ya chama zaidi ya watu 5000 na katika hao watoto wa vigogo hawakufika 20 na katika hao wengi wamekosa nafasi.

Akasisitiza kuwa watu lazima wawe wanautaifa na watende haki, katika kuwaeleza watu fulani ama kukosoa jambo fulani, amekiri kuwa chama kina mapungufu na ndio maana jkuna mikakati mbalimbali ya kuuhisha chama ili kukipa sura na nguvu mpya ya kiutendaji na muonekano.

Mkuu umeshatoka studio? Nimetune Star Tv sikuoni.
 
katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi ndugu nape moses nnauye atakuwepo katika kituo cha television cha star tv katika kipindi cha tuongee asubuhi akiongelea juu ya dhana ya kujiuhisha iliyopo kwenye mkakati wa chama ambao sekretarieti ya sasa imekuja nao katika kurejuvenate mkakati wa "kujivua gamba" uliopitishwa na chama hiko mwaka jana.

link: star tv - live

kujivua gamba keshamalizana nao ule mkakati??

Wana tapa tapa
 
- Huyu huenda hajui siasa, Serikali inakuwa ya Chama kinachotawala tu hakuna njia nyingine, kama anataka iitwe Serikali ya Chadema, asubiri uchaguzi ujao labda yanaweza kutokea maajabu ya Mussa, ingawa dalili za mvua huwa ni mawingu, yaaani Majuzi Chadema wameshindwa Uchaguzi wa MAdiwani tu, je wataweza Taifa?

Le Mutuz!!

Kweli hakuna haja ya kuwa na umri mkubwa kujua kitu.....Serikali huwa ni ya watu wote, sio ya chama kilichopo madarakani! Kusema serikali ya CCM ni upeo mdogo wa wenu ninyi akina Malecela
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom