On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

Yahya,mada nzuri,lakin kuwen makin na hizi mada na watangazaji (host) wanaotakiwa kuendesha.Mtangazaji (host)wa Dar anapwaya,mada ni nzito kwake.

Mkuu sidhani kama huyu dada ndiye anatakiwa kuwajibika kwa kupwaya'kuna backup wako wapi??kampuni kama hii inahitaji kujipanga ili kuweza kuridhisha watazamaji'kuna backup inatakiwa kuwa nyuma ya pazia kufatilia kipindi na kuwasiliana na huyo dada na kumpa maswali ya kuwauliza hao wageni'kuna haja ya kubadilisha utendaji ili tuweze kwenda na wakati
 
Nape bado hajafafanua uongo wa Lissu, huyu hana hoja anapayuka tu bora angetafutwa kada mwenye uwezo sawa na Lissu siyo Nape
 
Zanzibar sensa ilikua imekwisha lol! Kauli ya Nape. Hili tamko la sensa kuendelea halikua la nchi nzima?
 
Mwambie Nape aongeee hoja siyo propaganda, azungumze tukio sio aongee off point. CUF, NCCR, TLP wote walishakuwa waathirika wa propaganda.
 
Ninachokipenda kwa Lissu ni kuwa yuko tolerant, akiongea mwingine yeye anasikiliza. Kudos kamanda.
 
Hayo majibishano kati Lissu na Nape wakiwa peke yao nahisi wanaweza twangana... hahaha
 
STARTV haingaliwi na wanachama pekee tupo ambao hatupendi vyama.

Swali: Kwanini Nape anadhihirisha waziwazi kwamba anapeleka mada kwenye fujo na uvunjifu wa amani? Nape anajaribu kuneutrolise.
 
Nape, mbona juzi waislamu ameandama hadi si tu kituo cha polisi bali makao makuu ya wizara ya ndani kutaka wenzao watolewe na walitolewa, mbona hakuna uvunjifu wa amani wala mauaji yaliyotokea?
 
Swali kwa Nape. Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa iwapo watanzania enzi hizo Tanganyika, wataona chama chao CCM enzi hizo TANU, hakiwatendei HAKI wataweza kukihama na kujiunga na chama kinachotetea maslahi yao wananchi.

Kwa nyakati hizi ambapo watu huteswa na njaa, ufisadi, rushwa, huduma za elimu na afya duni huoni kuwa CCM imekosa uhalali wa kuendelea kutawala?
 
Kaka yangu Nape punguza jazba kama kweli una hoja za msingi. Kwa jinsi unavyo react sisi watanzania tunaendelea kuamini kuwa nyinyi CCM ndio chanzo cha hayo mauaji ya watanzania wenzetu.

Swali kwako Nape: Je, wewe unaamini ni nani aliyemuua mwandishi wa habari IRINGA na kwa sababu ipi?
 
Kudos Mh Tundu Lissu kwa kumpuuza Nape kwa kukuita Muongo, Tume huru itabaini nani muongo, ingawa JK hataki kusikia kuhusu tume huru
 
Wakuu tunafuatilia kipindi kwa ukaribu sana hapa Botswana.

Simfahamu Nape lakini nahisi elimu yake ina walakini kidogo. Kuna maneno ametamka sasa hivi akisema 'print media' lakini kwa kuunganisha hilo neno print media na sentesi iliyofuatia haviingiliani hata kidogo.

Inawezekana Nape ana uwezo na IQ ndogo?
 
Ukiangalia mdahalo unaoendelea startv, nidhahili dhahiri kwamba Nape kichwa chake ni pumba! Anabwabwaja, anatukana anapiga mayowe. Watu tunataka hoja Nape, si upuuzi...

Kwa sasa watz tunataka ukweli si shibe ya mafisadi wanaongea watakavyo. Ina maana Nape hajui wanaoanzisha mauaji au wanaoua watu kwenye mikutano?

Oooooooooh Nape, kajipange kaka... Huwezi kusimama na Lissu, Kikwete anamjua.
 
Tutamwomba Nape ajeJF kujibu hoja hizi ambazo kutokana na muda ktk Kipindi inawezekana tusipate muda wa kuyauliza
Mkuu, NAPE na asije humu hatajibu chochote, abaki zake Oysterbay.

Lissu jambo moja analonifanya nimsifu though mimi sina chama, ni utaalam wake kujibu hoja.

Nape saizi zake ni Chenge baasi. Kina nape hawawezi kitu hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom