On my way to TZ!.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

On my way to TZ!..

Discussion in 'Entertainment' started by Binti Maringo, Aug 18, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wana JF walioko TZ jamani tutafutane....nitakuwa TZ for a month vacation....

  Wale wanaotaka mingle with Kelly01...ni PM with your phone number ila firts week nitakuwa with family and second nitakuwa camping Arusha....then baada ya hapo i will be available...I am craving for nyama choma kwa sana tuu!....

  Hollaaaaaaaaaaaaaaaa!......

  Dar here i come....yipeeeeeeeeeeee
   
 2. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2009
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 705
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safari njema na karibu sana nyumbani Tanzania
   
 3. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ...aisee Mdada Kelly01 karibu nyumbani...ntakutafuta,kuna sehemu wanatengeneza 'chipsi chafu' na mishikaki ya uhakika kachumbari ya ukwaju....karibu sana nyumbani!!
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Thank you Kunta!......
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Shem ukifika nitafute nami nitakuwa huko 0754 777777
   
 6. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hauxtable inamaa hizo chipsi vumbi zitakuwa tamu zaidi ya zile za pale kinondoni?...maana miye ndiyo nilikuwa nazipigia hesabu za pale aiseee!...nimezimiss sana sana tuu...basi tutafutane unipeleke kwenye hiyo new joint ya chips vumbi nazi mind sanaaaaa....
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  shem wangu usikonde...........wewe tena hahahahaha uancheza...itakuwa hawwwt ni kwamba hapatoshi shemu....i ma so looking forward aisee...namba yangu ile ile niliyokupa juzi aisee unitafute in few days sawa shemu.....
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Pouuuwa.....najua mambo yako wenye wivu wajinyonge na asiwe na mwana atafute jiwe mapema teh teh teh teh
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kuna sehemu inaitwa jeshini maeneo ya Masaki wanachoma nyama nadhani dunia nzima lazima tukatie fujo pale!
   
 10. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  shem usije ukawa unaongelea pale Jolie i think panaitwa......... karibu na kilima nyege
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Una maana Jackies? hicho kilima ndo kwanza nakisikia...
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  dang i am too slow with names these days.....yes Jackies...
   
 13. H

  Haki JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii thread inabidi iende kwenye "Mahusiano na Mapenzi".
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Shem usiache kumtafuta Maxence Melo nasikia anapenda sana kwenda viwanja, ila stay away from Shy yule hakawii kubadilisha somo!
   
 15. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Miye staki kwenda viwanja shemu nataka kwenda sehemu za kula tuu basi!...hahahaha huyo Shy achana naye na huyo Maxene mume wa ntu...sidhani kama ana hang out usiku....

  Ila nataka kujua sehemu nzuri za kwenda ambazo zipo so classic na siyo gehtto......
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Yuko available atamwambia mamsap kuwa yupo busy na mwanaJF asihofu hata kama atarudi asubuhi hahahahahah bongo imebadilika sana uliiacha wewe Nyamachobisi? ni kiwanja murua pia kwa wastaarabu kama wewe
   
 17. Companero

  Companero Platinum Member

  #17
  Aug 19, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kelly, Chipsi Vumbi Nambari Wani zipo Msasani Namanga!

  Masanilo, Vipi tena mbona namba yako ndio ya Mkuu wa Kaya au wewe ndio Muungwana mwenyewe?
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Kelly, enjoy your vacation..hamna sehemu nzuri kama nyumbani, mwezi 1 tu ila utatamani kuongeza siku.
  Usisahau kuangalia hata kwa nje IFM pakoje now, ila ukipata nafasi mamii..PaMoJa!
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Hahahahahh wewe mazee ni balaa ....nataka mlengesha shem wangu huwezi jua bwana hahahahahahah
   
 20. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yaleo kali kachumbari ya ukwaji imekaje hiyo :confused:
   
Loading...