On ITV: Maandamano kutumika kushinikiza upatikanaji wa HAKI...

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Majada huu unaendelea LIVE kupitia ITV,hebu tuifuatilieni kwa karibu wadau wenzangu!
 
Hako kajamaa kenye suti nyeusi sijui Masako kakatoa wapi kana mawazo mgando ile mbaya! Sijui kama hata haki zake kama mwananchi azijua maana anachosisitiza ni kuzitii na kuogopa mamlaka zilizopo hata kama zinatunyonya?
 
huyo mwenye suti nyeusi anaitwa mwangosi yaan sijui anaongea madudu gani
 
Huyo mzee kaDisturb sana kipindi, cjamuelewa anachokiamini!!!!.
 
Niliudhika Polisi wame sepa,na hii si mara ya kwanza polisi kusepa badala ya kuja simamia polis jamii yao.
 
Back
Top Bottom