On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

mkada

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,200
903
After the outbreak of this pandemic, every country tried to strategise on how to save lives of its people as well as stopping the ecomony from a free fall. This was not easy and has not been an easy tast for some countries as i write.

Tanzania on the other hand, under the leadership of Dr Magufuli had had a uncelebrated approach which seems to have worked perfectly for Tanzania but not well for other countries

The approach was HERD IMMUNITY, which allows a majority of the population to gain resistance to the virus by becoming infected and then recovering

Today while i was at a Aghakan Hospital in DSM i asked the Dr who was attending me.... why are u not wearing face mask and i dont see a sanitizer in your desk. She replied, the Virus is gone! She said further that unlike one month ago where they could test positive 7 to 8 people out of 10. It was worse. But now despite the tests, no infections at all she added

Then i asked her, what is the scientific explaination for this, and she said HERD IMMUNITY.

As my title suggests, while countries like Sweden, Hait and other European countries have been badly hit after practicing herd immunity, Tanzanians we are lucky and all praises go to Dr Magufuli for his steady leadershid that strongly led us through this difficult moment and by helping its citizens to overcome fear. JPM saw what others could not see that Tanzania could not afford a prolonged lockdown without messing up it all

Additionally, JPM is lucky because through prayers also, it suggests that God was with Tanzania when the decision by JPM to practice HERD IMMUNITY was taken.

God Bless Tanzania, God Bless Magufuli.
 
Corona ipo jamani, siku hizi hata tukituma sample majibu hayarudi! Kuna mtu tulimweka isolation na sample tukatuma, alikuwa hoi ila baada ya wiki 3 Akapona! Xray zilionesha maji kujaa kwenye mapafu na Alikuwa anapumua Kwa shida, mpaka anapona hatujapata feedback ya vipimo tulivyotuma!

Chukua tahadhari
 
Corona ipo jamani,siku hizi hata tukituma sample majibu hayarudi! Kuna mtu tulimweka isolation na sample tukatuma,alikuwa hoi ila baada ya wiki 3 Akapona!Xray zilionesha maji kujaa kwenye mapafu na Alikuwa anapumua Kwa shida, mpaka anapona hatujapata feedback ya vipimo tulivyotuma!
Chukua tahadhari

Kwa uchache hizo cases hazitakosekana, lakini kwa ujumla wake Tumshukuru sana Mungu. Misiba haina siri aisee. Hatuoni misiba wala maiti kama ilivyotabiriwa.
 
Corona ipo jamani,siku hizi hata tukituma sample majibu hayarudi! Kuna mtu tulimweka isolation na sample tukatuma,alikuwa hoi ila baada ya wiki 3 Akapona!Xray zilionesha maji kujaa kwenye mapafu na Alikuwa anapumua Kwa shida, mpaka anapona hatujapata feedback ya vipimo tulivyotuma!
Chukua tahadhari
For sure, kuna jamaa yangu wa karibu naye anasumbuliwa na shida ya kupumua , amekewa oxygen , Leo siku ya tatu
Kibaya zaidi week before nili interact naye kwa Sana maana shughuli zetu zinafanana , ndo nasubiri kwangu kinuke maana sioni Kama hatukuambukizana.hii kitu isikie tu Ni hatari

Sent
 
Fake. Hospitali kubwa hapa nchini madaktari na manes full kuvaa barakoa. Unakuja kudanganya toto humu.

Trend ya maambukizi hata ulaya zimepungua sio Tz tu na hii ni kutokana na average nyuzi joto ya maeneo mengi kuongezeka. Hii inaleta conclusion kuwa africa tumesaidiwa sana na joto ndyo maana cases za dar hazikuwa nyingi kulinganisha na moshi au arusha ukikonsider na population pia.
 
Kwa uchache hizo cases hazitakosekana, lkn kwa ujumla wake Tumshukuru sana Mungu. Misiba haina siri aisee. Hatuoni misiba wala maiti kama ilivyotabiriwa.
Unaelewa trend ya Corona ilivyo kwa sasa nchini au unajielezea tu? Hiyo Aghakan unayoielezea ambayo mimi siifahamu ni ya nchi gani? Maana ya hapa nchini ninazo taarifa zake zote!
 
Fake. Hospitali kubwa hapa nchini madaktari na manes full kuvaa barakoa. Unakuja kudanganya toto humu.

Nenda Aghkan Dar, hospitali iliyo karibu na bahari. Nimeenda leo nimevaa barakoa kabsa na ki sanitizer kangu mfukoni. Nilichokiona ni kwamba watu wengi tu walikuwa hawajavaa barakoa, including manesi na madaktari.
 
Kwa uchache hizo cases hazitakosekana, lkn kwa ujumla wake Tumshukuru sana Mungu. Misiba haina siri aisee. Hatuoni misiba wala maiti kama ilivyotabiriwa.
Waliotudhihaki kwa kufunga na kuomba leo hii aibu imewapata, hata zile picha za Ebola walokuwa wakiwatumia mabwana zao hatuzioni tena, bila aibu mijitu hii itazunguka mitaani na majukwaani kuomba yapigiwe kura yapate nafasi za uongozi nchini, shame on you Zitto, CHADEMA na washenzi wenzenu wote.
 
Wakati dunia inahaha na hivi vijimafua hayati Nkurunzinza mpaka anakufa na hadi Leo Burundi haikuwa na habari kabisa na huyu mdudu mpaka kesho Burundi haina kifaa cha kupima hata kimoja hakukuwepo cha kantini na raia waliendelea kuchapa mzigo kama kawaida, cha ajabu sifa anakuja kupewa jiwe wakati msitahiki wa hizi sifa alipaswa kuwa nkurunzinza.
 
Zaidi ya nusu wanaopata corona huugua na kupona bila kujua wengi wao wakiwa ni vijana.

Zaidi ya nusu ya wanaoumwa sana/kuonesha dalili za corona ni watu wenye umri wa makamo 50 na kuendelea.

Sehemu kubwa ya watu Africa ikiwemo Tanzania ni vijana

Corona huisha yenyewe si chini ya wiki mbili

Corona ni ugonjwa wa mafua (makali). Kama mafua mengine huambukiza kwa nguvu kipindi cha baridi na hukosa nguvu kwenye joto, si ajabu covid19 ikapungua nguvu huku kwetu.

Kumbuka, Spanish flu iliisha yenyewe miaka 100 iliyopita (mafua huja na kuisha yenyewe) covid nayo itapotea ni kiasi cha muda.

Kwa mazingira yetu Tz, tukiwa na vijana wengi. Hakuna hana ya kupanic, sera bora kila mtu achukue tahadhari hasa wale wazee na wenye magonjwa hatarishi.

Hatuna uwezo wala nyenzo za kupima kila mtu, ku lock down watu au tiba. Kupanic hakusaidii.

Kumbuka, wengi wanaoumwa korona huugua bila kujua. Pungufu kidogo huugua na kupona si chini ya wiki mbili. Na wachache sana, huugua na kufikia hali mbaya ikiwemo kifo
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom