OMUKWANO: Another Hit Song From Kings Music By Tommy Flavour

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,609
2,000
Wcb Fans Dawa ya OMUKWANO itakua Imewaingia

Nawakaribisha Kings Music Muendelee Kuenjoy Good Music
 
Burnaboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
1,034
2,000
Mkuu Robidinyo mbona kondeboy ha promote ngoma za collabo zake na morgan heritage na burnaboy kwenye afro east album?
Zile ngoma ni loss.
Huwezi ku collabo na wakali vile then hadi sasa hata moja haipo top 10 yoyote !!!
 
Konde alikurupuka kuja na Album angejipa mda kwanza akawa anaachia ngoma moja moja alafu anaweka nguvu kwenye Kuipromote, Naona kawekeza Promo kwenye Bed room leo anaachia Remix

Na alichokosea pia ni kuziachia bila Video na inakua ngumu namna ya kuzipromote
 
Afadhali kidogo "Pain" (x Yemi Alade) walau. Zile "Your Body" na "Malaika" ni wazi hazitakuwa na mvuto kwenye live shows ni loss. Ni wazi alikua na mchecheto kutoa album haraka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom