Ommy Dimpoz Kumshukuru Governor wa Mombasa, Inatoa picha gani kwa Wanasiasa wa Tanzania?

Hawa wasanii wana maisha ya starehe sana mbona kila anayeumwa analalama hajapewa misaada,ina maana pesa zao huwa wanatunza kwa ajili ya kula bata tu?
Mi sioni sababau ya kuwachangia,kuna lile li dada sijui Diva sijui nani eti nalo hivi majuzi linalialia eti lichangiwe likabebe mimba,shuuubamiti kumamae!!
aise..
 
acheni uhuni kwani ayo ya mombasa na omy wapi na wapi na wanasiasa wa tanzania?? mimi picha ninayopata ni kwamba wa sani ote wa bongo ni vilaza pesa za safari na holiday na kiki ndefu ikifikia wanaumwa wanataka misada .. kwa ni wew ao mimi tunapoumwa tunaimba misada wapi??
duh!
 
Mkuu hawa watu wanaojiita wasanii na mastaa wanakera sana basi tu......nisamehe mkuu kwa lugha kali ila mi wananiboa sana ikija kwenye ishu ya starehe utaona magari ya bei kubwa maisha mahotelini lkn kwenye afya zao sisi tuwachangie
Mfano kaangalie haka katoto kanajiita Dogo Janja maisha kanayoishi sasa baada ya miaka mitano utaniambia
 
Ifahamike tu kuwa hizo kampeni wanazoshiriki wasanii huwa ni mikataba sawa tu na mikataba mingine wanayofanya na promoters wengine na hakuna kipengele cha kulipina maisha yote.Ndo maana huwaoni Ukonga wala Monduli kwenye by elections.
hilo nakubaliana na wewe. strictly business.

lakini na wasanii wetu nao waache nidhamu ya kujipendekeza kwa wanasiasa nyakati za kampeni.

nasikia kuna wengine wanatunga nyimbo za kampeni kwa ridhaa yao wenyewe bila hata kuombwa.
 
Nawaza tu kwa sauti... siku mond akiugua kuna kampuni kadhaa au hata watu binafsi wa nje na ndani watajitolea kumlipia gharama zooote za matibabu.... hiyo wala haishangazi... ndio maana unaona mwanasoka Cristiano Ronaldo japo ndo mwanasoka mwenye mkwanja kuliko wote lakin gari la kutembelea anabadirishiwa kila mara na wala hanunui... nguo anavaa apendavyo nazo hanunui na si ajabu km cku ikitokea akaumwa ukackia kuna mtu kamgharamikia matibabu yake yooote... kuna msemo wa kiswahili unasema "ALIYENACHO HUONGEZEWA".... ko ommy kusaidiwa japo alikuwa anakula bata kule ibiza ni jambo la kawaida.
 
halafu kweli. kuna wakati ommy alikuwa anapost sana mapicha na wamiliki wa gsm.
Atakuwa alikuwa anapewa chake it was strictly business.
Kumchangia mtu siyo lazima ni mapenzi tu na usipopenda usilaumiwe.
 
Hawa wasanii wana maisha ya starehe sana mbona kila anayeumwa analalama hajapewa misaada,ina maana pesa zao huwa wanatunza kwa ajili ya kula bata tu?
Mi sioni sababau ya kuwachangia,kuna lile li dada sijui Diva sijui nani eti nalo hivi majuzi linalialia eti lichangiwe likabebe mimba,shuuubamiti kumamae!!
mkuu punguza hasira najua amekukera sana.
 
Mwanzisha mada ana matatizo kichwani, kila kitu anawaza siasa. Joho ni rafiki wa Ali Kiba na Ommy Dimpoz. Urafiki wao hauhusiani na suala la siasa. Joho kaumuolea Ali Kiba mke na kasimamia shughuli mzima kuanzia Mombasa mpaka Dar. Vivyo hivyo kasimamia gharama za huyu Nyembo so sioni tatizo. Huyu Dimpoz kama anaweza kulipia gharama za kwenda Ibiza kula bata anashindwa vipi kujilipia gharama za matibabu mpaka uje kuwapa lawama wanasiasa wetu?
 
images
 
.

Na wewe unaamini Ommy ana hela ya kwenda kula bata Ibiza?karibu mjini
 
Back
Top Bottom