Ommy Dimpoz huwa ni msanii mkali

Ommy ni msaniii mkali sema tu ndio hivyo hatoi nyimbo sana siku hizi
Nai nai ilikuwa nyimbo kali sana
Halafu hiyo baadae pia na zingine ulizotaja pia kuna ile tupogo.
Na hii mwaka jana "your the best "..ni bonge moja la zouk..

Uzuri ommy anaweza kuimba nyimbo za genre tofauti tofauti..
Mengine brother Eyce atamalizia
 
naipenda sana ile ndagushima ni kitu matata sana ile pia inanikumbusha pisi yangu moja nayo ilikuwa inauskiliza sana!tukiwa tunapiga sarakas anaiplay bas mzuka unampanda anasokota kiuno hatari!!
ooohhh ndagushimaaaa
 
umeshamaliza kila kitu mkuu 😁

Ommy ndio msanii aliekuwa akitoa hit song, watu wanaona kama hatoweza kutoa kali zaidi lakini bado akafanya maajabu

kutoka kwenye nai nai, baadae, Me and You hadi tupogo OG. Alikuwa untouchable next to platnumz

Ila navyoona jamaa si kwamba ana kipaji kikubwa sana kisanaa ila ana kichwa cha kutoa hit songs kitu ambacho ni muhimu zaidi katika mafanikio ya msanii kwenye "numbers"
 
Na mkaachana tu😀😀
 
sure brother mimi napigia mstari tu.
Ommy huwa hakurupuki
 
Back
Top Bottom