Ommy Dimpoz huwa anaenda Mombasa, Kenya mara kwa mara kufanya nini?

HABARI ZENU WAKUU

Kama heading inavyosomeka hapo juu, kiukweli me nimekuwa najiuliza huyu braza Ommy Dimpozi huwa anaendaga Mombasa kupiga show au kufanya nini? Na yule Gavana (Joho) ndo anayemtafutia show huko Kenya au vipi? Maana kila akienda Kenya lazma yuko naye.

Hebu naomba nielewesheni mdogo wenu nielewe.
Ney wa mitego alishasema masela wa ommy dimpoz wanalalamika hawamjui shemeji yao.
 
HABARI ZENU WAKUU

Kama heading inavyosomeka hapo juu, kiukweli me nimekuwa najiuliza huyu braza Ommy Dimpozi huwa anaendaga Mombasa kupiga show au kufanya nini? Na yule Gavana (Joho) ndo anayemtafutia show huko Kenya au vipi? Maana kila akienda Kenya lazma yuko naye.

Hebu naomba nielewesheni mdogo wenu nielewe.
KAZANA BABA UENDE NA WEWE, MENGINE WAACHIE WATU WAISHI MAISHA YAO, HATA AKIENDA MARA 100, UKIONA INAKUUMA JUA UNA WIVU MMBAYAAAAA.
 
Back
Top Bottom