Ommy dimpoz amchana shigongo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,932
26,631
2013-06-14_11-41_Twitter.jpg




Omary Faraji Nyembo ‏@ommydimpoz 3h Nilipigiwa simu Ya kibiashara kwa ajili ya kufanya show na global publishers kwasababu Hatukuhafikiana kwenye malipo ndo wameamua kunichafua



SOURCE : DJ Fetty: OMMY DIMPOZ AFUNGUKA JUU YA STORY INAYOMUHUSU GAZETI LA IJUMAA
 
shigongo achaniki...mawazo ya mwendazimu sio amri...yupo kibiashara zaidi hamuezi shindana na kichaa
 
Shigongo ni tapeli kama tapeli mwingine yeyote, mtaji wake ni kuwaanika hawa vijana wanaohangaika kujitafutia riziki kwenye magazeti yake.

Mtu akishakuwa CCM lazima anakuwa kimaslahi ya wizi tu, mfano mzuri ni Shigongo na Ruge...
 
lakini kama ni kweli basi Ommy akamshtaki manake hakuna haja ya kurushiana nae maneno humu mitandaoni.
lkn kabla ya yote lazima ujiulize je ni kweli alienda kwenye msiba wa ngwea?? je alikuwa na nani beneti kwenye huo msiba??

swala la kuwa mringi nafkiri wanamsingizia tu manake huyu kijana anaonekana kuwa mringi tu kwa kuzaliwa so hatuwez sema kawa mringi kisa msiba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom