Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

Kuna chuo pale Airpor kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250. na at least mwanafunzi anatakiwa asome 750 Hrs ndipo aweze kurusha ndege na hapo ni kama haja fail item yyt kwenye hiyo course.

Look here!
Rate price per Hour 250
Excahnge rate 1USD = USD 2315
250X 2315=578,750
750×578,750= 434,062,500

Mtoto wa mkulima atauza korosho.kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?

Hizi hesabu naona hazipo sawa kabisaa
 
Inawezekana hata kama kasoma hapa,maana kwa kawaida form IV kijana ana maliza akiwa na miaka 17 na inaonekana alivyo maliza tu O level akaenda kwenye urubani na kozi ya urubani ni miezi 6 kwa leseni ya PPL

Kua rubani ni kama kua tu dereva wa bus sema gharama tu za mafunzo ni kubwa mno elimu ya kidato cha nne tu inaweza kukufanya uwe rubani
Tena Kwa wenzetu, urubani ni option ya mwisho Kwa waliofeli, kama ilivyo ualimu bongo.
 
Kuna chuo pale Airpor kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250. na at least mwanafunzi anatakiwa asome 750 Hrs ndipo aweze kurusha ndege na hapo ni kama haja fail item yyt kwenye hiyo course.

Look here!
Rate price per Hour 250
Excahnge rate 1USD = USD 2315
250X 2315=578,750
750×578,750= 434,062,500

Mtoto wa mkulima atauza korosho.kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?
Em tutajie na Salary per hour mtu anapo fuzu!?
 
Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.

Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi

Tumpe hongera binti huyu

Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Baba yake huendesha kipindi cha mahojiano ITV.
 
Kuna chuo pale Airpor kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250. na at least mwanafunzi anatakiwa asome 750 Hrs ndipo aweze kurusha ndege na hapo ni kama haja fail item yyt kwenye hiyo course.

Look here!
Rate price per Hour 250
Excahnge rate 1USD = USD 2315
250X 2315=578,750
750×578,750= 434,062,500

Mtoto wa mkulima atauza korosho.kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?

Uko sahihi lakini ni vema ukakubai hali halisi.

Hata kama gharama ingekuwa million mbili kwa kozi yote, bado kuna mamilion ya watanzania hawawezi na hawataweza kumudu hizo gharama. Na kwa hiyo gharama ya mamilioni uliyoonyesha hapo juu bado kuna "wakulima" wa kitanzania wanasomesha watoto kwenye hizi shule/vyuo. wapo na watakuwepo. Nenda IST/ISM Moshi na kwingineko..kuna watoto wa "wakulima" na "wavua samaki" wengi tuu wako kwenye hizi shule.

Mwisho wa siku, kila mtu lazima ale kwa urefu wa kamba yake. Umasikini ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.

Ninachojitahidi kujua na kukubali kila siku ni kwamba umasikini haukuletwa na JPM na wala hautaondolewa na JPM! Anayekwambia vinginenvyo..ana lake jambo.
 
Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.

Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi

Tumpe hongera binti huyu

Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Hiii ni nzuri Sana uwekezaji wa kwy Elimu unalipa sana
 
Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.

Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi

Tumpe hongera binti huyu

Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
hongera first solo
 
Wale wa Elimu bure hizi level watazisikia kwa majirani.

Hakuna namna mtu utaifurahia hii dunia pasipo kutoa jasho. Ukiwa mvivu kapuku huwez peleka mtoto wako mafunzo ya urubani akiwa na miaka 16

Huyu mtoto bila shaka anakula matunda ya jasho la wazazi wake.
Amini kwamba huyu hajui mfekane war...chimurenga war....mangungo wa msovero Wala Christopher Columbus
 
Back
Top Bottom