Ombwe elimu ya juu

Oct 25, 2016
9
1
Ndugu wana jf kwa masikitiko makubwa nimelazimika kuujulisha uma Wa kitanzania kuwa elimu yetu ya juu sasa inaenda kuwa elimu ya kibaguzi na hii imesababishwa na serikali yenyewe kupitia combo chake chenyewe kinachohusika na kuratibu pamoja na kutoa mikopo kwa wanafunzi Wa elimu ya juu kutoa mikopo kwa wanafunzi wachache ili hali wahitaji wakiwa wengi.
Nini athari zake katika elimu
1.matabaka kwa wnafunzi kutokana na uwepo Wa tofauti kumudu gharama za kujikimu wawapo chuoni
2.watoto Wa masikini watakosa fursa muhimu ya kupata elimu ambayo wamekuwa wakiipigania kwa muda mrefu
3.ukosefu Wa ajira kwa wafanyakazi Wa Chuo kwani vyuo vingi vitashindwa kujiendesha kutokana na ukosefu Wa wanafunzi
4.migomo chunk, hii itasababishwa na wanafunzi wasio na mkopo kuwashawishi wenzao kugoma pale wnapogundua kuwa hawawezi kumudu malipo ya masomo kwa mihula inayofuata hivyo kushawishi mgomo ili wasimamishwe masomo warudi mtaani wakasake pesa za kulipa

Nini kifanyike
1. Serikali itoe mikopo kwa wanadunzi wore Vila upendeleo
 
Mkuu una hoja nzito, ila jaribu kupunguza munkari kidogo wakati wa unaandika
 
Back
Top Bottom