Ombi: Waziri mkuu tembelea Dar es Salaam uone ufujaji

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,064
2,300
Ndio utakapoona kuwa hakuna umuhimu wa kuwa na miradi ya manispaa na miradi ya jiji. Ni ufujaji wa fedha. Vunja jiji. Zibaki manispaa zikiendesha miradi kwenye maeneo yao.
 
Dar hakuna Kiongozi hata rais kasema!unajua Kiongozi alidhani kutofuatilia miradi mkoani kwake basi hatutachagua upinzani serikali za mitaa na wabunge madiwani ame bug step
 
Back
Top Bottom