Ombi: Serikali pandisheni Madaraja watumishi wa Umma. Ni miaka sita sasa, tuwe na huruma

Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
Kuwepo na mfumo ambao utarekebisha daraja la mtu automatically muda wa kupanda daraja unapofika .hii ya kungojea vikao vya TSC ndipo watu wapandishwe madaraja haina tija.kwa kutumia mfumo madhubuti serikali itajua ni wangapi wanIstahili kupandishwa na hivyo kutenga bajeti mapema.Hii itaondoa usumbufu na manung'uniko ya watumishi.
 
Achana na hao walioajiriwa 2014, kuna watu waliajiriwa 2011,kutokana na figisu za maafisa utumishi,hawakupandishwa madaraja hadi kufikia 2015.Sasa ongeza na miaka mitano baadae. Mungu ndiye ajuaye
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
 
Achana na hao walioajiriwa 2014, kuna watu waliajiriwa 2011,kutokana na figisu za maafisa utumishi,hawakupandishwa madaraja hadi kufikia 2015.Sasa ongeza na miaka mitano baadae. Mungu ndiye ajuaye
Mimi niliamua kuwapiga 24 hours, washenzi wakubwa hawa! Utamwekaje mtu miaka 10 bila kumpandishia daraja, si uonevu huo?
 
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
mfumo umebadilika, kila uongoz na mfumo wake, mfumo huu sio wa jakaya.
 
Kama waliomfukuza Nusrat Hanje kwa kosa la kutolewa Mahabusu usiku na kufutiwa mashtaka

Walitaka abaki gerezani ili waendelee ku post hashtag za 'Release Nusrat Hanje' huko tweeter wakati wakipanga orodha ya pisi za kuwa viti maalum
Kwaiyo waliomuweka mahabusu siku 133 kwa makosa yanayodhaminika wewe ni sawa tu unapeleka lawama kwa wengine kwa hoja ya kipumbavu siasa ni mbaya sana kama hureason
 
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
Mitano tena.

Kwani hukupewa kibarua cha kusimamia uchaguzi.
 
Kama Nusrat angetolewa kwa style aliyotolewa lakin akawa hayupo kwny orodha ya Wabunge, povu lingewatoka kama linavyowatoka?
Kwaiyo waliomuweka mahabusu siku 133 kwa makosa yanayodhaminika wewe ni sawa tu unapeleka lawama kwa wengine kwa hoja ya kipumbavu siasa ni mbaya sana kama hureason
 
Idara gani hiyo inapanda kila mwaka?
Inawezekana ni Idara ya mapolisi, majeshi na makomandoo, maana nasikia wao hawana uvumilivu na kulialia kama wengine! Lakini Mkuu alisema ataongeza kabla hajaondoka madarakani, swala ni kujenga moyo wa UZALENDO Baba hawezi sahau wanae.
 
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
Kati ya vitu ambavyo rais Magufuli amefeli moja wapo ni maslahi ya watumishi wa nje ya vyombo vya ulinzi na usalama
 
Back
Top Bottom