Ombi: Serikali iwalipe mshahara watumishi waliotia nia Ubunge

Mheshimiwa M/KITI WA CCM NA RAIS WA JMT,

Narudia kukukumbusha kuwa 'KIBURI SI MAUNGWANA'

Huo ni msemo wa kiswahili lakini una maana kubwa sana. Endapo mwezi huu wa nane makada wa CCM ambao ni watumishi wa Umma wapatao elfu 7 na zaidi hawatalipwa mishahara yao ya mwezi wa nane...basi tegemea kuanguka kwa chama katika taasisi nyingi za Umma na chama hakitaungwa mkono na hilo jeshi.

Lakini kwa kuwa unaamini kuwa CCM itashinda kwa kishindo basi subiria wahanga/ wajuba wauze ramani .

Narudia tena : walipe mshahara was wa mwezi wa nane.....FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE!

HUO NI USHAURI AS BURE TU !
 
Katika mwaka ambao watumishi walio tia Nia wameumia ni mwaka 2020 na wanaendelea kuumia, kulia, kulalamika, kuteseka na wamekuwa Kama wakimbizi ndani ya CCM na serikali Yao.Hiki Ni kilio kikubwa sana.wamechangia chama mabilioni, ya fedha.matokeo yake watumishi hao wameishia kukosa kura za maoni,kukosa mishahara ya miezi miwili,wengine wamefukuzwa kazi, wengine wamekosa hata namna ya kulipa Kodi za nyumba na mwisho wake watumishi hao wanatakiwa kusimamia uchaguzi mkuu na wanatakiwa kugombea Kura.

Watumishi walioathirika na janga Hilo ni zaidi ya 7,000 robo ya wapiga Kura wote October 28. Watumishi hai Wana wategemezi zaidi ya3 Hadi 5 nao wameathirika ,ukiunganisha watumishi na wategemezi wao ni zaidi ya watu 21,000 .mkifuata sheria itabidi hata Mh Rais na waziri mkuu warudishe mishahara waliyochukua mwaka 2015 wakati wanagombea.busara itumike.watumishi wa umma ni kundi la watu maskini Hakuna asiyetaka kujiajiri mwenyewe Bali uwezo huo hawana. Hali hii isiporekebishwa madhara yake ni makubwa baadaye .
nikweli kabisaaaa
 
Mheshimiwa M/KITI WA CCM NA RAIS WA JMT,

Narudia kukukumbusha kuwa 'KIBURI SI MAUNGWANA'

Huo ni msemo wa kiswahili lakini una maana kubwa sana. Endapo mwezi huu wa nane makada wa CCM ambao ni watumishi wa Umma wapatao elfu 7 na zaidi hawatalipwa mishahara yao ya mwezi wa nane...basi tegemea kuanguka kwa chama katika taasisi nyingi za Umma na chama hakitaungwa mkono na hilo jeshi.

Lakini kwa kuwa unaamini kuwa CCM itashinda kwa kishindo basi subiria wahanga/ wajuba wauze ramani .

Narudia tena : walipe mshahara was wa mwezi wa nane.....FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE!

HUO NI USHAURI AS BURE TU !
naunga mkono hoja,ubabe waache kabisa
 
nakwambia ramani ikiuzwa,nyumba haina siri tena
 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli;

Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza kuwania nafasi ya kugombea Ubunge au Udiwani kupitia chama chetu - CCM.

Wapo watumishi wa Umma – MAKADA WA CCM - takribani elfu saba (7,000) ambao walijitokeza kutia nia katika majimbo mbalimbali hapa nchini. Ni dhahiri hawa ni wenzetu, na walikuwa wanakipigania chama chetu na bado watakipigania chama chetu CCM kuhakikisha tunapata ushindi mnono. Hivyo basi ukiwa kama M/KITI WA CCM TAIFA na Rais wa JMT, naomba ulithamini hili jeshi (hawa makada). Hii ndio hazina ya Chama katika taasisi mbali mbali za Umma kama vile – Vyuo Vikuu, taasisi za utafiti, vyuo vya kati na halmashauri mbali mbali nchini ambao ndio watakuwa msaada mkubwa huko waliko kuhakikisha chama chetu kinashinda kwa kishindo.

Walio wengi ni wasomi kuanzia ngazi ya bachelor degree hadi PhD (Muulize Dr. Ndumbaro – Katibu Mkuu Utumishi) atakuambia kwa sababu taarifa zao tayari anazo. Kwetu sisi kama Chama ni jambo la kujivunia kuona kuwa tuna mtaji mkubwa sana wa makada wa chama chetu katika taasisi mbali mbali hapa nchini na wapo tayari kukipigania Chama.

Pia kumbuka hawa Makada huko majimboni wameombwa kuunganisha nguvu kwa umoja na kuhakikisha anayepitishwa na Chama chetu – CCM kinaibuka mshindi, sasa huyu kada ambaye hajapata mshahara wa mwezi wa saba, na huu mwezi wa nane hapati tena; je atakuwa na nguvu gani ya kukipigania chama? Je, atakuwa na mapenzi na chama chake? Huko aliko kwa jinsi familia yake inavyoishi kwa shida, je atakuwa na upendo tena na chama? Mheshimiwa M/KITI funika kombe mwanaharamu apite, maana tusije tukampa adui faida muda huu.

Mheshimiwa M/KITI – CCM TAIFA nakuomba utambue kuwa hili jeshi ni la leo na kesho. Watumishi wa Umma zaidi ya elfu 7 kujitokeza hadharani nchi nzima kukipigania chama sio kitu kidogo ujue! Wape moyo kwa kuwalipa mshahara wao wa mwezi wa nane ili wawe na nguvu kuzunguka majimboni kukipigania chama na wenzao ambao wameteuliwa leo na Chama chetu kupeperusha bendera ya CCM.

Kwa namna moja au nyingine ni kweli wamekiuka taratibu za kiutumishi, lakini tambua kuwa watumishi wengi hawakupata nafasi ya kuuona huo Waraka. Pia wapo wengine wengi tu waliouona huo Waraka lakini kwa mapenzi ya dhati na chama Chetu- CCM waliamua kwenda kufia chama huko majimboni kupitia chama chetu CCM, hivyo ni heri ikatumika busara na hekima ili hili jeshi letu liweze kuwa na nguvu ya kukipambania chama chetu – CCM leo na kesho pia.

Mheshimiwa M/KITI wangu wa Chama – CCM na Rais wa JMT, nimeamua kukuandikia ujumbe huu kwa sababu ya upendo nilio nao kwenye chama changu CCM, na pia mapenzi mazito ambayo watumishi wa UMMA (MAKADA WA CCM) kutoka taasisi mbalimbali za Umma, Idara za Serikali na Watumishi toka Halmashauri mbali mbali nchini walivyoonyesha moyo kwa kukipenda na kukipigania chama toka mchakato ulipoanza tarehe 14/07/2020 hadi leo hii ulivyohitimishwa kwa kutaja majina tarehe 20/08/2020.

Makada hawa (watumishi walio tia nia) wamevumilia mengi na bado wanakipenda chama Chao – CCM, nakuomba fumba macho Mheshimiwa Mwenyekiti ili mwezi huu walipwe mshahara wao ili waweze kuwa na nguvu ya kuendelea kukipigania chama hadi hapo October, 28 mwaka huu na kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Chama chetu – CCM.

NB: Kwa walio karibu na Mheshimiwa M/KITI WA CCM – TAIFA na ambaye pia ndio Rais wa JMT, naomba mumfikishie ujumbe huu pasipo kupunguza maneno ili aweze kutumia hekima na busara zake kwa hawa Makada walio jitoa majimboni kukipigania chama chetu – CCM.

Nakala kwa :

  • Katibu Mkuu wa CCM – TAIFA, Dkt. Bashiru Ally (Aione kwenye Jalada)
  • Katibu Mkuu – UTUMISHI – Dkt. L. Ndumbaro
  • Makamu Mwenyekiti wa CCM – TAIFA, Mzee Mangula
  • Katibu wa NEC – Itikadi na Uenezi, Ndugu H. PolePole
Mheshimiwa M/KITI WA CCM TAIFA nakutakia Afya Njema, Mungu azidi kukubariki na upate Ushindi Mnono hapo Octoba 28, mwaka huu.
Polepole: CCM inawataka wagombea wote waliofeli kura za maoni kuwapigia kampeni washindi watakaokaidi kukosa teuzi!
 
Kiufupi watumishi wote waliotia Nia wamesimamishwa kazi kwa miezi 6, mama yangu mdogo ni muhanga, Ni vilio kila siku, CCM wamekuwa wakatili Sana this time around
 
Hapo ndio wajue gharama za kusogezaa majina yao jiweni! kwani vyama vingine watumishi wa umma hawakujitokeza? AU sio rahisi kujipambanua hivyo kwa wakati tulioonao!!
 
Mtu analilia mshahara wa mwezi mmoja kiasi hicho? hivi akikosa mshahara mwaka si atajiua?.
 
Mlienda kugombea mkiwa mtamba sana acha kidogo mhenyeshwe ikimpenda rais awafukuze kazi maana mna uchu wa madaraka
 
Back
Top Bottom