chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,958
- 20,528
Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato
Kidumu CCM
#matege
Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato
Kidumu CCM
#matege