Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

Sasa ni msimu wa mavuno kwetu wakazi wa Chato, mahindi, mpunga na mihogo iko kwa wingi, naomba Serikali ituruhusu kutumia uwanja wa ndege kuanikia mpunga, mahindi na mihogo, inatoka vizuri bila mchanga.

Ni ombi letu sisi wanyonge na masikini.

View attachment 1798102
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa kwenye uwanja wa Ndege Chato​

Kidumu CCM
#matege
Ni ilo tu? Tunampango wakuwaletea na ndege moja iwe kama bembea ya watoto zenu si mmeamua kufanya hii nchi amusement park.
 
Fisadi magufuli alikurupuka
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Ni fursa mpya imejitokeza ni vizuri ikatumika ipasavyo. Tuna uhaba mkubwa wa maeneo ya kuanika mpunga Chato wakati sakafu kubwa vile inakaa bila kazi!
😂😂😂 yaan magu huko anasema hiiiiiiii
 
Daah ingekuwa kipindi like ungesakwa na lile Nissan jeupe usiku na mchana hadi upatikane wakupeleke Mikocheni ukaimbe nyimbo zote
Ndio kusema kwa sasa Nissan jeupe nalo halina shughuli, pamoja na watu wake
 
Back
Top Bottom