Ombi: Serikali iteue ‘Round About’ moja nzuri nchini na kujenga Sanamu ya Magufuli kama kumbikizi kwa vizazi vijavyo

Serikali iandae siku maalum ya kumkumbuka Shujaa wa Mazezeta "Mazezeta Day"
 
Mawazo ya kijinga kwa lipi hasa mikono imejaa damu....? Atalipa kwa matendo yake
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Pumbafu,maoni takataka
 
c

Comments reserved
 
Kama sanamu tu basi iwekwe kulee zinapopaki meli zinazosubiri kuingia bandarini ya dar ingependeza zaidi kwa watalii wanakwenda znz waipige picha kule.
 
Kumbukumbu tu ya Ufujaji uliofanyika Kwao ( Kwake ) Chato unatosha na hata Vizazi vyetu vijavyo tukitaka kutoa Mifano ya Wakubwa ( Watawala ) waliowekeza Vijijini mwao Kifujaji ( nje ya Matakwa ya CAG na Bunge la JMT ) tutaitumia Chato yake kama Vivid Reference.
Chato inatosha, bora kuwa na mikopo ya wajasiriamali wadogo 'Revolving fund'
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
wejenge tu, ila itabidi waingie gharama ya kuliwekea ulinzi wa masaa 24.

la sivyo nitakuwa naenda hapo kulikojolea kila mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Really !!! Is this your maximum level of thinking !!!??? Hiiiiiiii !!!
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Kama unampenda sana, mkajenge huko kijijini kwenu
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Haitamrejesha duniani

Odhis *
 
Mi nazani tujenge sanamu ya tundu lisu
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Mkuu wakati ombi lako likifanyiwa kazi, nakushauri utafute picha moja, labda zile za kampeni ambazo jamaa wanazing’oa upambe chumbani kwako! Nafikiri ofisi za chama hawakosi kofia na tirshit pia!
 
Back
Top Bottom