Ombi: Serikali iteue ‘Round About’ moja nzuri nchini na kujenga Sanamu ya Magufuli kama kumbikizi kwa vizazi vijavyo

Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Nchi yetu ni ya vyama vingi.Hata waasisi wa vyama vya siasa nao ni mashujaa pia.Wewe usipate taabu kamjengee kwenye round about iliyopo Chato.Kifupi inaelekea wewe kijana hujui unachokiandika.Huwezi wala kuthubutu kumfananisha Baba wa Taifa na kiongozi yoyote aliyetangulia akiwemo huyo uliyemtaja.Asingekuwa Baba wa Taifa labda lugha ya Taifa ingekuwa kisukuma,kichaga,kimakonde,kigogo,kikwere ,kihindi,kiarabu,kiingereza,kihaya,n.k Katuunganisha makabila 120 + kwa lugha ya kiswahili.Hakujenga uwanja wa ndege Butiama,wala hakuweka taa za kuongoza magari (Traffic Lights)Butiama,wala Ikulu ndogo n.k.Hii awamu ya 6.#Salaam za Jamhuri ya Muungano Ya Tanzania #Kazi iendelee
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Huzuni na hasira havukai pamoja
 
Naunga mkono hoja. Napendekeza ikajengwe pembeni ya Chatto International Airport au round about yeyote mjini Chatto
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Tungekuwa Babylon ya Nabukadneza?
 
Ninakubaliana na wewe. Hayati ameacha legacy kubwa na wanaojaribu kum challenge marehemu kisaikolojia wanamwongezea sifa na uhalali wa legacy kwenye jamii ya watanzania.Hii miradi ni legacy tosha. SGR,BUSISISI/KIGONGO,WAMI,RUFIJI, VITUO VYA MABASI, NDEGE ZA ATCL, MELI,ELIMU BURE, DARAJA OYSTERBAY, MIUNDO MBINU YA MAJI, BARABARA,TRAIN MGR, HOSPITAL, UKARABATI MASHULE UMEME VIJIJINI etc lazima akumbukwe tu km anavyokumbukwa Nyerere.
 
hiyo pesa bora mnipe nikarudishe heshima pale kwa mpalange bar
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
Anzeni na Nyerere. Msijitoe ufahamu. Na mnaweza kujenga masanamu yake kila siku vichwani mwenu
 
Ninakubaliana na wewe. Hayati ameacha legacy kubwa na wanaojaribu kum challenge marehemu kisaikolojia wanamwongezea sifa na uhalali wa legacy kwenye jamii ya watanzania.Hii miradi ni legacy tosha. SGR,BUSISISI/KIGONGO,WAMI,RUFIJI, VITUO VYA MABASI, NDEGE ZA ATCL, MELI,ELIMU BURE, DARAJA OYSTERBAY, MIUNDO MBINU YA MAJI, BARABARA,TRAIN MGR, HOSPITAL, UKARABATI MASHULE UMEME VIJIJINI etc lazima akumbukwe tu km anavyokumbukwa Nyerere.
ataendelea kubezwa hukuhuko aliko... hivi hamjiulizi NYERERE alibezwaa? MKAPA? MAALIM SEIF? kwann yeye tu?! hapo ndo mjifunze kuwa TENDA MEMA ILI KUMBUKWE KWA WEMA. sasa jifanyeni hamjui mnajua hamjui
 
h
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
hilo sanamu jenga kwenye ubongo wako tembea nalo lala nalo
 
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni;
Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe.

Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa Nyerere na mashujaa wengine wa nchi hii.

Hii ni faida kwa vizazi na kumbukizi hasa kwa wanyonge na azalendo.

#Maendeleo hayana chama
#UVCCM taifa

# Magema Jr
For what??🤣🤣🤣
 
Mwangaluka mami.....
 
Back
Top Bottom