Ombi: Serikali irudishe kodi ya kichwa

Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo

Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati

Kodi si dhambi.

Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Urudiwe!
 
Hiyo kodi ya kichwa nakumbuka kuna watu walikuwa wanahama makazi yao kwa ajili ya kukwepa.
Yaani nyumbani anaonekana saa tatu usiku na ikifika saa kumi na moja alfajiri anachomoka.
 
images-357.jpg
 
Hiyo kodi ya kichwa nakumbuka kuna watu walikuwa wanahama makazi yao kwa ajili ya kukwepa.
Yaani nyumbani anaonekana saa tatu usiku na ikifika saa kumi na moja alfajiri anachomoka.
Safar hy ikitokea unahama upewa kes ya kuhujumu uchumi a nyumba itaifishwe kwa maendeleo ya nchi
 
Walete hata za kwny mita za maji, hizi Kodi na tozo ndo zitatufanya akili zitukae sawa
 
Back
Top Bottom