MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Sijamuombea kifo ZittoWewe unakinga na kifo!!

Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)
Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.
Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.
View attachment 1426346
Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
Asante Kwa vile kumbe unajikakamua Tu kuidhihaki mauti, kumbe Huna kinga? Basi kuwa na adabu, ukimkuta mjinga anachezea moto karibu na petrol wewe kimbia ili usije kuwa mjinga kama yeye, wewe na walimuombea Zitto kifo hakuna tofauti,Sijamuombea kifo Zitto
Tanzania ilishakuwa na marais wenye akili? Huyu wa sasa ndiyo hivyo tena.....KWANI HAJAKIMBIA? Tunamuomba aende Ikulu akafanye kazi tuliyomtuma akatufanyie sisi waajiri wake, siyo busara akajifiche CHATO. mrudisheni Ikulu kama hawezi basi ajiuzulu. Gado kazi nzuri sana unaifanya, endelea hivyo hivyo. Africa hatuna marais ila ma-playboys na wezi wa mali za umma.Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)
Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.
Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.
View attachment 1426346
Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
Hayo umwambie chaurembo buremboAsante Kwa vile kumbe unajikakamua Tu kuidhihaki mauti, kumbe Huna kinga? Basi kuwa na adabu, ukimkuta mjinga anachezea moto karibu na petrol wewe kimbia ili usije kuwa mjinga kama yeye, wewe na walimuombea Zitto kifo hakuna tofauti,
Kila nafsi itaonja mauti, lakini ole wake aitakaye mauti!!!
Huyu mTanzania anayejulikana kama "GADO" amekuwa na mazoea ya kuwakejeli viongozi wetu wapendwa. Sasa hapa kamkejeli rais wetu anayependwa na wote (isipokuwa wachache tu ambao ni negligible na incosequential.)
Naomba serikali ya Magufuli imshataki in absentia kwa kuwa amejificha Kenya. Tukumbuke kuwa, wakati alimtusi rais Kikwete (picha ya pili), gazeti la the East African liliona moto. Sasa hivi, GADO hafanyi kazi na Nation Media, hakuna leverage kama ambayo Kikwete alikuwa nayo.
Suluhisho ni kumshataki na kuomba serikali ya Kenya imrejeshe Tanzania.
View attachment 1426346
Alipomkejeli JK
View attachment 1426347
Nasikia wewe ndio mamaakeWewe mtoto wa mwanamke kahaba umenisahau na mimi simpendi kabisa Magufuli Waambie wanikamate pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Kabendera alikuwa international! Nenda kamuulize saa hii u international wake ulimsaidia niniGado ni internationql figure wewe.
Mshitakini muuone moto wake.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Wakati mwingine huwa unatumia kichwa kwa kazi yake aliyotuumbia Muumbaji wetu kumbe na si kufugia nywele!!?Gado anachora katuni za viongozi dunia nzima, kama hampo tayari kuchorwa kaeni pembeni hiyo ni ofisi ya umma sio ya mtu binafsi anaependa kusifiwa tu.View attachment 1426354View attachment 1426355View attachment 1426356