Ombi: Serikali idhibiti kelele za baa

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,292
2,000
Tunaomba serikali kusaidia kudhibiti hili tatizo la hizi sehemu mbili.

Wa kwanza sehemu za mabaa:
Hizi sehemu tena kama zina mziki na zina kesha ni kero, yaani huwezi lala kwa kelele zilizo wazi.

Wa pili ni hawa walokole
Hata kama hakuna ibada ni mwendo wa masupika makubwa kulazima watu tusikie neno na nyimbo za dini mpaka na mikesha.
 
olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,212
2,000
Tunaomba serikali kusaidia kuzibiti hili tatizo la hizi sehemu mbili.
wa kwanza sehemu za mabaa:
hizi sehemu tena kama zina mziki na zina kesha ni kelo.yani uwezi lala kwa kelele zilizo wazi.

wa pili ni hawa walokole
hata kama hakuna ibada ni mwendo wa masupika makubwa kulazima watu tusikie neno na nyimbo za dini mpaka na mikesha.
Dah mkuu,
mi nakaa hapa sinza kwa remy, jirani kuna baa sijui lounge inaitwa 99 club.. yaani ni shida.. huwa nalala siku ya j3 na j4 tu.. siku nyingine zote ni balaa
 
Jun 3, 2014
51
125

hahahaaaaa, haya mkuu
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,879
2,000
Wanakusaidia kuwa macho usiku mzima, walozi wakija wanakuta upo macho......wanasepa.
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,338
2,000
Tunaomba serikali kusaidia kuzibiti hili tatizo la hizi sehemu mbili.
wa kwanza sehemu za mabaa:
hizi sehemu tena kama zina mziki na zina kesha ni kelo.yani uwezi lala kwa kelele zilizo wazi.

wa pili ni hawa walokole
hata kama hakuna ibada ni mwendo wa masupika makubwa kulazima watu tusikie neno na nyimbo za dini mpaka na mikesha.
Kweri kabisa warokore wanaleta kelo sana.
 
mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,789
2,000
Hayo mambo yanaweza kukufata, unajenga eneo limetulia,likichangamka ndio hayo mambo yanakuja kuibuka
Mimi hapa kuna Jirani yetu kapangisha Kanisani eneo lake yaani ni full makelele
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,067
2,000
Dah mkuu,
mi nakaa hapa sinza kwa remy, jirani kuna baa sijui lounge inaitwa 99 club.. yaani ni shida.. huwa nalala siku ya j3 na j4 tu.. siku nyingine zote ni balaa
Sasa hivi Nemc wanazifunga au wanawalazimisha kufunga sound proof. Pale Sinza Mapambano Walio Jirani na Board Room Bar walipeleka mashitaka .Pamefungwa mpaka wafunge sound prof system. Kwa sasa maspika ya kanisa au mziki wa bar ukizidi db zisizotakiwa ni kosa kisheria na raia wanaokeleka na hizi kelele wanatakiwa riport Baraza la Mazingira hili wausika wawajibishwe
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,135
2,000
Dah mkuu,
mi nakaa hapa sinza kwa remy, jirani kuna baa sijui lounge inaitwa 99 club.. yaani ni shida.. huwa nalala siku ya j3 na j4 tu.. siku nyingine zote ni balaa
Mimi ndo Dj hapo mkuu naona unanipiga majungu ila najua huwa unakubali kazi yangu kimoyomoyo yan ni bang juu ya bang
 
muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
12,174
2,000
Hayo mambo yanaweza kukufata, unajenga eneo limetulia,likichangamka ndio hayo mambo yanakuja kuibuka
Mimi hapa kuna Jirani yetu kapangisha Kanisani eneo lake yaani ni full makelele
Kama ninapoishi aisee,kuna kakibanda cha kanisa,basi jirani yangu dada mmoja hivi,yeye anaenda hapo alfajiri,hizo kelele anazopiga majirani wote tunaamka,harafu ukimuona huwezi amini kama yeye ndiye aliyekuwa anapiga kelele.
 
mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,789
2,000
Kama ninapoishi aisee,kuna kakibanda cha kanisa,basi jirani yangu dada mmoja hivi,yeye anaenda hapo alfajiri,hizo kelele anazopiga majirani wote tunaamka,harafu ukimuona huwezi amini kama yeye ndiye aliyekuwa anapiga kelele.
Afadhali nyie kwenu ni mtu anasali
Huku ili kanisa la Jirani sikunyingine hususani jumamosi wanafungulia mziki tu Kwenye spika hakuna hata muumin
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
31,146
2,000
Diazepam mbili na bia mbili, kabla ya kulala,iwe mziki wa baa,kelele za walokole,wachawi wa usiku,wanga utakuwa unasikia kwa majirani tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom