Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,123
- 39,337
Mkome, Wabongo mmezidi kiherehere na ujuaji wacha mpigwe tu. Hero,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, kwenye msongamano wa watu, mask ni muhimu kuliko maelezo! Lakini kama upo nyumbani tu au ofisini tu na hautumii usafiri wa jumuia(public transport), sawa hauhitaji! Lakini kama ni kinyume cha hayo basi unahitaji sana tu ujikinge kwa mask!Hizo mask mnavaa za nini? Mbona mnakuwa wajinga sana!
Yaani sijui ni ulimbukeni? au ni ujinga tu uliosababishwa na madhara ya shule za kata!?
Hakuna mtu anayehitaji kuvaa mask! Just be clean and wash your hands with water! Inatosha.
Ujuaji ni wa hao wamarekani na wachina! Sisi wabongo kosa letu nini tena hapo?
Umeona eeh! Kwa bei ya 8000 kwa disposable mask 1 maana yake anatafuta faida ya laki saba na 50 elfu (750,000/=) kwa box moja lenye mask 100! Eeeh hii kweli kufa kufaaana!Watanzania ni watu wa ajabu sana janga kama hili unakuta MTU ndiyo anataka atajirike....huu ni unyama,Jana jamaa YANGU kaenda huko posta DSM anataka kununua box LA musk hizi za kujikinga kuuliza bei anaambiwa kwa sasa musk moja inauzwa shilingi 8000/=,wakati mwanzo ziliuzwa 500/= yaani ni shida sana hapa ubinaadamu hakuna kabisa.
Unapandisha bei ya bidhaa wakati hilo janga linaweza likakutafuna hiyo faida kubwa sijui utailia akhera,serikali iweke mkazo kwenye hili LA sivyo itakuwa ni maafa ya kutisha.
Ujuaji ni wa hao wamarekani na wachina! Sisi wabongo kosa letu nini tena hapo?
Panic ni mbaya, ila kinga ni bora kuliko tiba!Kuwa na viherehere vya kuvaa mask na kushadadia matukio kwa panic
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, wengi watakuwa walishaugua covid19 na kupona bila kujua!Acheni kukuza jambo hili sana ni miezi miwili iyopita nimewai pata mafua,kikohozi na homa Kali pamoja na dawa za mafua pia nilitumia mseto bila kupima nikidhan labda malaria wapi,ndipo nikachukua limau,chumvi kidogo ,tangawizi na kitunguu swahum Mkuu in 24 hrs nilikua fresh mungu shaidi
Ingekua ni wakati huu wa tatizo lililopo ,aki ya mungu ningetengwa kusubili vipimo
So nilipo dalili kuu la hii kitu mpaka bado najiuliza
Hakuna corona yoyote. Ni kiherehere tu ndicho kimewajaa.Hapana, kwenye msongamano wa watu, mask ni muhimu kuliko maelezo! Lakini kama upo nyumbani tu au ofisini tu na hautumii usafiri wa jumuia(public transport), sawa hauhitaji! Lakini kama ni kinyume cha hayo basi unahitaji sana tu ujikinge kwa mask! Nafikiri badara ya kununua mask, tununueni lesso/ vitambaa vya mkononi, kunja kwa ulefu uweke malinda, weka rubber band pembeni, kunjia kwenye rubber band pembeni, kisha piga pin! Utakuwa na mask unayoweza ifua na kuipiga pasi! Sanitizer, nenda kachukue jik uchanganye na maji kwa uwiano wa....!
Kumbe wanaitwaje!? Kitu cha buku kinauzwa 13,000/=! Kitu y jelo (500) kinauzwa 5,000/=!Ati walanguzi wa... 😂