OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OMBI:Serikali iache ubabe hasara ya hujuma ya sensa ni kubwa isifanyike mwaka huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Aug 19, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutokana na sensa kufunikwa na maswala ya udini, maswala ya siasa na maswala ya maslahi ni bora hekima ikatumika sensa ihairishwe mpaka mambo yakae sawa. Tukiendelea kwa maswala ya liwalo na liwe kuna mdau mmoja ametahadharisha watu watalala misikitini na kama kumbukumbu zinazohitajika ni za aliye lala basi hawajalala nyumbani

  Serikali ni kodi za wananchi mnazotumia busara itumike
   
 2. n

  nicksemu Senior Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naunga mkono hoja
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Maji ukiyavulia nguo, lazima uyaoge!
   
 4. N

  Njangula Senior Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono!
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ntakuwa gesti siku hiyo na staki kabisa usumbufu
   
 6. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Watu wote watakaolala hotel/guest,wasafiri,wawindaji,wavuvi watahesabiwa!
  Ila serikali haijajiandaa maana vifaa hakuna.
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Mwanaharakatihuru hasara ya bilioni 140 alotaja Pinda isikupe presha itakuwa a mere drop in an ocean of hasara's/ mabilioni ya uswisi, radar,malipo haramu ya capacity charges,mikataba mibovo sekta ya madini/gas inayopelekea tusifaidi rasilimali zetu etc etc
   
 8. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Serikali ya CCM ikijua idadi kamili ya Watanzania,
  taarifa hiyo itasaidia kufanya nini??

  Kwamba itawajali zaidi?

  Tusubiri mpaka tupate serikali ya watu ndipo tuhesabiane vema.
  hawa wenye kutaka kipengere cha Dini wawekewe kipengere hicho.

  tatizo ni pale watakapo gundua Waislamu ni 29.5%,
  sijui watasema sensa imechakachua???
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kuna tetesi kuwa Waislamu wenzangu wanataka siku ya Ijumaa iwe siku ya mapunziko kama ilivyo Juma2 siku ya ibada ya wakristo na Jumamosi kwa wasabato...SIUNGI MKONO HOJA YAKO SENSA IENDELEE KAMA KAWAIDA
   
 10. Nkwesa Makambo

  Nkwesa Makambo JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 4,765
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sensa ikisitishwa itakuwa ni kutambulisha jamii kuwa serikali ni ya KIDINI kwa kuwa itakuwa imesalimu amri kwa wamiliki wake,kama serikali yetu ni secular sensa iendelee,kujua idadi ya WATZ ni muhimu hao wahuni wachahche waachwe kwani,kuwahesabu au kutowahesabu tarehe 26 hakuzuii kujua idadi yao,kwni orodha iliyotangulia zoezi la vitambulisho vya taifa kwa kila kaya itakuwa imewajumuisha ni swala la wanatakwimu kutumia bongo kidogo kutoa na kujumlisha tutapata idadi ya watz wote hata kama kuna majuha wamegomea kuhesabiwa na serikali ili wajijue wako wangapi,Kwangu mimi sensa haikuwa na sababu ya kufanyika wakati tulikuwa na zoezi ambalo lingejumuisha mahitaji ya kwenye sensa,lakini kwa kuwa serikali iko short sighted basi sensa ifanyike angalau tujue kupitia zoezi hili idadi na mtawanyiko wa watz,kiuchumi,kijinsia,kimazingira na kimaumbile
   
 11. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa Serikali isipo "salimu amri" kwa raia wake japo mmoja achilia mbali mamilioni ya Waislamu unataka iwasikilize kina nani? raia wa Zambia?!
  Ama kweli wewe ni msiba ndani ya msiba.
   
 12. peri

  peri JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wanatuchezea waislam, waacheni waone watakavyo aibika.
  Hawataki kuwasikiliza wananchi wao watawasikiliza kina nani?
   
Loading...