Ombi paitwe duru za siasa badala ya general politics

Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,557
1,291
Naomba MODs neno "General Politics" mlibadirishe liitwe Duru za Siasa. Nina sababu

1. Lugha yetu nzuri ya kiswahili

2. Mijadala "Threads" nyingi zinajadiliwa kiswahili hata kama msisitizo unawekwa lugha za wenzetu.

3. Neno General linashusha uzito wa Politics. Yaani si sahihi kimantiki, tafasiri yake ni ni Siasa za ujumla jumla ambazo si lazima ziwe na hitimisho linalokusudiwa. Kwa upande mwingine Duru za Kisiasa linatoa wigo mpana zaidi wa uchangiaji kwa hoja za uzito pia hoja za ujumla jumla zenye muelemeo.

Nashauri tu kwa kadiri nilivyoelewa maana ya General Politics
 
Back
Top Bottom