Ombi na Onyo kwa policy makers huko wizarani!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ni wazi kuwa kasi hii ya Magufuli inatisha na itaumiza wengi.

Kuhusu LGAs zimekuwa zembe kwa sababu ya wao wenyewe lakini pia kwa sababu ya uzembe wa Central goverment kwa maana ya wizara.

Kwa kuwa Magufuli ameanza kuviringisha mnyororo wa TINGATINGA basi ni vyema watu wa wizarani waweke mambo sawa la sivyo wawe replaced na watumishi kutoka LGAs.

Kazi ya Policy makers kwa sasa ni kuhakikisha sheria mbovu zinazokuwa kikwazo kwa utekelezaji ...wizara zifungue simu zao na kurespond immediately kwenye maswala ya muhimu yanayowasilishwa kwao na LGAs.

Sheria ya manunuzi ya umma ipitiwe na kuwekwa sawa immediately ili kuondoa beurocracy.

Mfano wa leo kwamba CT SCAN NA MRI Hazijatengenezwa probably kwa ukiritimba uliopo yaani mtengenezaji lazima atoke wizara ya afya lazima ukomeshwe.
 
Back
Top Bottom