Ombi muhimu sana kwenu wana jf. Naomba sana tena sana mnisaidie. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi muhimu sana kwenu wana jf. Naomba sana tena sana mnisaidie.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kagarara, Aug 24, 2011.

 1. k

  kagarara Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhali sana naomba anayeweza kupata gazeti la the guardian la tarehe 16/8/2011 anisaidie nafasi za ajira zilizokuwa zimetangazwa. Mm huku nipo kijijini na siwezi kulipata. Naomba sana msaada wenu.
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hbu fungua kwenye website yao..................usiniambie hakuna tena internet mana hiyo post sijui utakua umetumia wapy
   
 3. k

  kagarara Senior Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
Loading...