data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,149
- 22,724
Tunakuomba Rais walau utoe hata salam za mwaka mpya.
Toa salam za matumaini Baba...eeee...!!
Wewe pekee ndio mfariji wa wanyonge. Itasikitisha sana tuamke kesho bila neno lako la kututia moyo WATANZANIA...tunaendaje 2018 na tutarajie nini.!?
Tungependa kusikia toka kwako ni nini unajivunia umefanya mwaka huu na ni nini umetupangia kufanya mwakani.
Kwenda kulala usiku huu kwa Salamu za Mh. Mbowe za maumivu na masikitiko ni kumaliza mwaka kinyonge.
Basi nafikiri utafanya hivyo.
AHSANTE.
UPDATE 1..2100 hrs. Mh. Rais ametutakia heri.