OMBI: Mh. Rais Magufuli toa basi hata Salam za Mwaka Mpya.

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,137
22,702
Tunakuomba Rais walau utoe hata salam za mwaka mpya.
Toa salam za matumaini Baba...eeee...!!

Wewe pekee ndio mfariji wa wanyonge. Itasikitisha sana tuamke kesho bila neno lako la kututia moyo WATANZANIA...tunaendaje 2018 na tutarajie nini.!?

Tungependa kusikia toka kwako ni nini unajivunia umefanya mwaka huu na ni nini umetupangia kufanya mwakani.

Kwenda kulala usiku huu kwa Salamu za Mh. Mbowe za maumivu na masikitiko ni kumaliza mwaka kinyonge.

Basi nafikiri utafanya hivyo.

AHSANTE.

UPDATE 1..2100 hrs. Mh. Rais ametutakia heri.

FB_IMG_1514747361127.jpg
 
Idara ya mawasiliano Ikulu itatoa yeye frustrations zake zimezidi mno leo hii hata kwenda kanisani leo hii ilibidi wamsukumize.

Tunakuomba Rais walau utoe hata salam za mwaka mpya.
Toa salam za matumaini Baba...eeee...!!

Wewe pekee ndio mfariji wa wanyonge. Itasikitisha sana tuamke kesho bila neno lako la kututia moyo WATANZANIA...tunaendaje 2018 na tutarajie nini.!?

Tungependa kusikia toka kwako ni nini unajivunia umefanya mwaka huu na ni nini umetupangia kufanya mwakani.

Kwenda kulala usiku huu kwa Salamu za Mh. Mbowe za maumivu na masikitiko ni kumaliza mwaka kinyonge.

Basi nafikiri utafanya hivyo.

AHSANTE.
 
Mleta mada unataka UTUHARIBIE MWAKA MPYA? INAMAANA WEWE UNATOKEA RWANDA KWAMBA NI MGENI AU? TANGU LINI ULIONA NENO LA BUSARA KUTOKA KWA HUYU BWANA? NI BORA TUKABAKI KAMA TULIVYO AU UNGEMUOMBA KAKOBE KULIKO.
 
Huyu ni kiongozi anayejitambua na kutambua wajibu wake kwa wananchi wake KAMWE huwezi kumlinganisha na huyo aliyesukumiziwa Ikulu, mtenda maovu na mvaa hirizi chungu nzima kiunoni.

President Kenyatta kashawasalim WAKENYA.
 
Nyakati zinabadilikaga.....Hatujazoea kumwona Mkuu wa Kaya akikaa silence hivi. Huyu jamaa atakuwa alimuharibia siku asee tungemwona na mama yetu wakisali Kanisa fulani. Na akitoa salam za sikukuu .
Naona inapita kimyaaaaa
 
Back
Top Bottom