Ombi Maalumu: Msaada kuipata website irushayo drama ya Kichina, JOURNEY TO THE WEST

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,332
875dc0c3f19bd0dcfc5eb6591f2aab26.jpg
c90e3b195a9f41a7d1cd66cd940b69f1.jpg
 
Pana thread ilotupiwa na Revola isemayo:
Tukumbushane Vipindi vya ITV, CTN na DTV 1994: .....

Hakika nmeipenda sana mana si tu kuwa imenikumbusha vitu adimu na adhimu ukizingatia mimi ni fan wa both Chinese and Korean dramas .... bali pia imenipa fursa ya kukutana na fans wenzangu wengi wa dramas ikiwemo JOURNEY TO THE WEST ambayo pia baadhi waliita "MONKEY" ama "SHIVO"

Nimejaribu kuwaomba wawili watatu msaada wa websites ambazo naweza ipata but to no avail ....

Hakika naitafuta sana .... nimeianzisha hii thread ili nipate huo msaada .... please
 
Mods please nawaomba msiiunganishe hii thread na ile had nipate msaada maana hii ni special request ....... then mwaweza fanya hivyo
 
mkuu,mwenyew mejaribu kuitafta hapan kuipata..ila youtube ipo nadhani ni baadhi kam sio series yote.
 
umenigusa, hii sepuka ni ya wapi? maana kuna sepuka huko singida
Pana jamaa mmoja miongoni mwa wanaotafsiri movies na dramas mbalimbali kama biashara ndo huutumia huo usemi majanga katika mji wa sepuka ..... lafudhi ya huyo mh. ni ya watu wa arusha .... yawezekana anaifahamu hiyo sepuka ya huko singida
 
Pana jamaa mmoja miongoni mwa wanaotafsiri movies na dramas mbalimbali kama biashara ndo huutumia huo usemi majanga katika mji wa sepuka ..... lafudhi ya huyo mh. ni ya watu wa arusha .... yawezekana anaifahamu hiyo sepuka ya huko singida
duuhh... ok
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom