Ombi maalumu kwa wabunge wetu wapambanaji wa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi maalumu kwa wabunge wetu wapambanaji wa chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Maige Nhigula Jr., Feb 1, 2011.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu Wana JF,

  Katika kupitia sera za Chadema wakati wa uchaguzi mkuu mojawapo ilikuwa kutoa elimu bure kuanzia awali hadi high school na sera hiyo ilikuwa mwiba mchungu kwa wana ccm,

  Hivyo nilikuwa nataka kutoa pendekezo kwa wabunge wetu wa chadema, pamoja na kutambua hali mbaya ya wananchi wengi na ugumu wa maisha, wabunge na viongozi mbalimbali wameendelea kupokea mishahara na malupulupu mengi, na ukizingatia Dr Slaa aliwahi kuwasilisha hoja binafsi ya kupunguza malupulupu na mishahara ya wabunge na kupata strong resistance kutoka kwa wabunge wa ccm,

  Ni kwa nini hivi sasa Chadema isipitishe azimio kwa kukubaliana na wabunge wote kuwa atleast 20% ya mishahara na allowance zikatwe na kuwekeza kwenye EDUCATION TRUST FUND YA JIMBO husika na pesa hiyo isaidie kusomesha watoto angalau 10 kwa kila jimbo, hiyo itakuwa ni smart thing to do politicaly, kwani CCM wanaweza kuendelea kutupiga mbao kama walivyofanya kwenye kampeni kwa nini Dr Slaa hakuamua kukataa posho ama kuzi direct kwa watoto yatima? to me it makes sense bila ubishi, hivyo lazima tuoneshe kwa matando sasa na wananchi watatuamini kuwa ni chama cha waungwana.

  Natambua kuna baadhi ya wabunge tayali wanafanya hivyo lakini ilitakiwa kuwa ni msimamo wa wabunge wote na ni kitu rasmi cha chama.

  Sio lazima tusubiri mpaka tuchukue dola, tunaweza kuanza ku make difference on people's life kwa kidogo tulichonacho na watanzania ni watu wema sana hakika watatuongezea tulipotoa, I strongly advocate for this MBUNGE EDUCATION TRUST FUND kwa kuanzia kukatwa percentage ya mishahara na malupulupu, ambayo kwa kweli hayaendani na wananchi maskini tunajitahidi kuwapigania,

  Nadhani wapiganaji wote tunaamini kuwa uongozi ni wito wa kuwatumikia wananchi bila manung'uniko sasa tunaomba sana wabunge wetu kwa nia njema hebu onyesheni leadership kwa kuwarudishia wananchi angalau hicho kidogo kwani bila wao kukupigia kura na kulinda kura basi usingeweza kupata huo mshahara mnono na marupurupu bwelele!

  "We need to walk the walk and not talk the talk"
   
 2. l

  limited JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  that is very useful na hata watu wengine kwenye jimbo wenye uwezo wangechangia huku na hili litakuwa giloi la kwanza kwa chadem kuelekea 2015
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mimi sidhan kukata mishahara kutasaidia kuondoa tatizo, la muhimu ni kupambana na kuukataa mfumo unaowafanya baadhi kuwa matajiri kwa mgongo wa fedha za umma.

  mfano:singida mashariki wameviondoa vizuizi vya barabaran vilivyokuwa vinatumika kutoza ushuru wa kuku na mahindi+mtama.

  My take:tuwe na mfumo unaoweza kuwafanya watu wote wawe na equal rights to resources kwa kufanya hivi with time dependants watapungua sana.
   
 4. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wazo zuri na linatekelezeka; nakumbuka Zitto tayari anafanya hivyo katika jimbo lake, na wakati akijinadi kwenye kipindi cha mchakato majimboni hii ilikuwa silaha kubwa aliyoitumia.
  Msimamizi wa mfuko hu awe ni mbunge husika; mafanikio ya mfuko huo ndiyo yatahamasisha watu wengine kuchangia. Kama tunachangia kampeni za kisiasa sioni kwanini tusichangie elimu!
  Ebu CDM lifanyieni kazi.
  Hii haimaanishi kuwa mapambano ya kuondoa mfumo kandamizi unaowafanya waTZ kuendelea kuwa maskini na kushindwa kulipia elimu yataachwa, la hasha, hii ni mbinu sahihi ya kupunguza makali kabla mapambano hayajafanikiwa.
   
 5. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhani watatusikiliza na kulifanyia kazi
   
 6. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wazo zuri na kama chadema wataamua kufanya hivi itakuwa big score kwao. Ni muda wa kuwa practical zaidi
   
Loading...