Hiv huyu mzee bado anaishi na mchumba ake?.Jamani ni kwa nia njema tuuHapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.
Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.