Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
 
FB_IMG_16319049766474293.jpg
 
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Cdm.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Cdm ambayo imelala chari kifo cha mende.
Chadema hawapendi kuusikia huu ushauri!
 
Sema CCM ianzishe tawi jipya, chini ya jina jipya, mwenyekiti awe Slaa
 
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Mmeshamtema kwenye Ubalozi, mmetumia kama nanihiii sasa hivi hana chake
 
Back
Top Bottom