Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,620
2,000
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Hiv huyu mzee bado anaishi na mchumba ake?.Jamani ni kwa nia njema tuu
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
7,244
2,000
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Kuanzisha chama kikawa chama pinzani, kinachukua muda siyo kama kuchemsah maji ya chai ama kiazi
 
BuenosAires

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,115
2,000
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.

Akianzisha chama chake ajaze wapwani, kanda ya ziwa, magharibi na kusini, aise atapata wafuasi wengi sana na hata kukimbizana na ccm. Akijaribu kuweka ndugu zake wambulu/wachagga ataambulia pa2pu.
 
shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
762
1,000
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
CCM inatosha Idugunde . Mambo ya vyama vya upinzani ni umagharibi. CCM tunaenda na Mama 2025 mpaka 3035
 
Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
6,966
2,000
Mwache Mzee apumzike aachene na hizi siasa uchwara.
Ni wazo zuri sana, anaweza akapata wafuasi, ambao baadhi wanaweza wakawa wanaChadema, hii itaipunguza nguvu Cdm na kusaidia CCM walau iendelee kuwepo.

CCM imdhamini huyu Dr mihogo aanzishe chama, inaweza kuwapa ahueni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom