Ombi maalumu kwa Dk Wilbrod Slaa: Anzisha chama cha siasa ili kiwe chama cha Upinzani

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
3,063
2,000
Dr. Mihogo alishapotwza credibility toka alipoonekana Serena akila barger akituacha wafuasi wake tukila mihogo.
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,668
2,000
Amekuwa mpumbafu sana kukubali ajira badala ya malengo. Silss hovyooo
 
dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
714
1,000
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Muhimu arudi Chadema akaimarishe chama bila kujali yaliyompata
 
maruudaniel

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
404
500
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Mku kumbuka hata Zitto na Shibuda wanavyama wanavyoviongoza kama jibu lilivyo ndivyo itakavyokuwa Mwanaccm mwenzangu.
Wala asijichoshe kwani zile picha alizopitishiwa mlango wa. uani kule hotelini bado zipo.
Pale ndiko alikoangukia
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,959
2,000
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Nitakuwa wa kwanza kuchukua kadi
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,346
2,000
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.

Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.

Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili. Hivyo utaungwa mkono na watanzania wengi.

Anzisha chama kiwe mbadala wa Chadema ambayo imelala chari kifo cha mende.
Hawezi kuvutia yeyote. Kama unabisha ajichanganye .

Ogopa sana kuvuruga ulichonacho .
 
Dp800

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,370
2,000
Chama ni Mtu ?
Ni ukweli kabisa na falsafa za Dr. Slaa ndio falsafa za Magufuli nadhani hata ndio sababu za yeye kuumunga mkono

Kiukweli walio karibu wamuombee mzee afanye hilo jambo mapema mafisadi yamekuja na speed kali sana tusipojidhatiti mapema tutapoteza pambano.

Magufuli na Slaa wote mrengo wao ni mmoja uongozi kwa manufaa ya uma, usimamizi wa rasilimali tulizojaliwa pamoja na udhibiti wa rushwa na matumizi mabaya ya rasilimali.

Kikubwa nakiona kwa Dr. Slaa ni kuiamini vijana katika kupiga hatua ndio maana hata alipokuwa chadema kwa wakati wake aliweza kuwainuia vijana wengi sana zito,mnyika, mdee ni mifano hai
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
2,545
2,000
Ni muhimu kama nchi kuwa na mkakati wa chama mbadala vinginevyo iko siku isiyojulikana huko miaka mingi mbele vizazi vijavyo vitajikuta kwenye geshijunta kipindi cha mpito.
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,643
2,000
Slaa huyu huyu aliyehongwa na kikwete bilion 7 ili asaliti upinzani 2015?

Au mnafikiri mafaili yake hatuna?

Mpinzani Nchi hii Ni Tundu Lissu tu!!

Slaa nje ya chadema Ni sawa na samaki bila maji.
Wewe nawe acha ujinga wako, unamjua huyo Tundu Lisu vizuri? Hamna combination nzuri imewahi kutokea nchi hii ya upinzani kama ya Slaa na Mbowe, mikengeuko mingine iliyotokea kati yao hapo kati hatujui, ila acha kabisa kumdharau Slaa, Hata Mbowe hajawahi kumuongelea slaa negatively, Nyambaf
 
juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,644
2,000
Acha mawazo ya Kishamba mkuu.Yule kwshazeeka tayari na hakuna atakaemfuatilia kwa sasa.ila nampenda ana misimamo
 
juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,644
2,000
Wewe nawe acha ujinga wako, unamjua huyo Tundu Lisu vizuri? Hamna combination nzuri imewahi kutokea nchi hii ya upinzani kama ya Slaa na Mbowe, mikengeuko mingine iliyotokea kati yao hapo kati hatujui, ila acha kabisa kumdharau Slaa, Hata Mbowe hajawahi kumuongelea slaa negatively, Nyambaf

Hakika mkuu.nakumbuka ile siku mzee slaa anang’atuka alisema “sijawahi kutofautiana na mwenyekiti wangu lakini kwa hili la lowasa tumevutana sana.”””mzee ana msimamo sana yule
 
juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,644
2,000
Slaa huyu huyu aliyehongwa na kikwete bilion 7 ili asaliti upinzani 2015?

Au mnafikiri mafaili yake hatuna?

Mpinzani Nchi hii Ni Tundu Lissu tu!!

Slaa nje ya chadema Ni sawa na samaki bila maji.

Mkuu mimi nakuelewa sana ila wa hili la slaa Nitatofautiana na wewe..labda kama hukusikiliza speech yake ya 30/9/015 ile siku anaacha siasa.Kama ulisikiliza basi hukuelewa ..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom