Ombi Maalumu kwa Air Tanzania

ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
870
1,000
Kwa niaba ya wakazi wa mkoa wa Iringa na Nyanda za juu kusini.
Pamoja na kuwa na uhitaji mkubwa wa usafiri wa ndege mkoa huu kwa muda mrefu sasa tumekosa hii huduma.
Wito wangu kwenu. Hapa Iringa kuna shunguli nyingi sana kama mikoa mingine Tanzania ambazo zinahitaji usafiri wa ndege. Kutaja kwa uchache tuna mbuga ya Ruaha, Makumbusho ya Kalenga, Wakulima wakubwa wanaosafirisha mazao ya horticulture kwenda nje ya nchi, viwanda vikubwa mathalani Mgololo (paper), Chai Mfundi, Kiwanda cha kusindika nyanya n.k achilia mbali sisi tunaofanya shughuli zetu. Sasa ni muda mwafaka wa kutuletea ndege hata ndogo tu kuturahishia usafiri. Mimi binafsi huwa naboreka sana pale ninatumia siku nzima barabarani muda ambao ningetumia katika shughuli zangu.
Hivyo basi please tufikirieni huko mliko hata hii ndege ndogo ambayo rahisi kasema itumike kwa ajili ya usafirishaji abiria basi msitusahau. Route ya Songea, Njombe, Iringa, Dodoma, Dar ni potential ifanyieni utafiti.
Asanteni.
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,925
2,000

Vanyalukolo hoyee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom