Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Umegusa penyewe. Zitto anatumiwa na Economist na Kanendera kuichafua Tanzania,mnafiki sana huyu jamaa.Zito hana uzalendo wowote ila ni.maji yamemfika shingoni,
Huyu zito ndo kila siku anaiandika tanzania kwenye magazeti huko nje vibaya na serikari, bado huyu zito ndo mchongeaji wa nchi isipate misaada, sasa uzalendo wake upo wapi?
Pascal achana nae huyo, kwani ni nyoka mweusi ndani ya nyumba.
Hafai kuwa hata barozi, ni mtu wa kutumika, ukiwa na pesa yupo upande wako ukimtenga anakushambulia.