Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

Wanabodi,

Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition ambao the most credible ni ACT Wazalendo.

Hii ni kufuatia ACT Wazalendo ndicho chama pekee cha upinzani nchini Tanzania, ambacho ni capable kinachofanya responsible opposition.

Hivyo ili kukamilisha responsible opposition pande zote za muungano, hili ni ombi maalum kwa Rais wa JMT, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, amteue Zitto Zuberi Kabwe, kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, kupitia zile nafasi zake kumi za wabunge wa kuteuliwa na rais, kwasababu Zitto atamsaidia sana na kulisaidia Bunge letu, kufuatia yeye, kupitia chama chake cha ACT Wazalendo, ndie mpinzani pekee mzalendo, wa kweli anayefanya responsible opposition, ambaye ni capable kuongoza kamati ya Bunge ya PAC.
Samahani mkuu, wakati unaandika hii mambo ulishatumia kinywaji gani?
 
Juhudi za ZZK za kulihujumu taifa letu sio za kufumbia macho hata kidogo! Yeye na nyoka wengine wa aina yake hawastahili hata ujumbe wa nyumba kumi!
 
CCM inavituko Kwahiyo hawakujua kama hizo kamati zina takiwa kuongozwa na upinzani Leo hii zito ateuliwe kama mpinzani bungeni hahaha inachekesha sana si mlitaka muwe pekee bungeni Sasa pilipili inawawashia nini?
 
Wanabodi

Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition ambao the most credible ni ACT Wazalendo.

Hii ni kufuatia ACT Wazalendo ndicho chama pekee cha upinzani nchini Tanzania, ambacho ni capable kinachofanya responsible opposition kinachokwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, kufuatia Chama kikuu cha upinzani huku Bara, Chadema, kuonyesha dalili zote za immaturity hivyo is not a capable opposition ya kufanya responsible opposition bungeni. Kuhusu Chadema kutokuwa na uwezo, hili tumelizungumzia Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Baada ya Maalim Seif kuapishwa na kuwa Makamu Zanzibar, chama cha ACT Wazalendo, ndicho chama kikuu cha upinzani Zanzibar, hivyo ili kukamilisha responsible opposition pande zote za muungano, hili ni ombi maalum kwa Rais wa JMT, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, amteue Zitto Zuberi Kabwe, kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, kupitia zile nafasi zake kumi za uteuzi wa wabunge wa kuteuliwa na rais, kwa sababu Zitto atamsaidia sana na kulisaidia Bunge letu, kufuatia yeye, kupitia chama chake cha ACT Wazalendo, ndie mpinzani pekee mzalendo, wa kweli anayefanya responsible opposition, ambaye ni capable kuongoza kamati ya Bunge ya PAC.

Ingawa rais wa JMT hapangiwi na yeyote, kitu chochote cha kufanya, lakini anaweza kushauriwa na yeyote, jambo lolote lenye manufaa na maslahi kwa taifa letu katika mustakabali wa upinzani, ila rais anakuwa yuko huru kupokea ushauri, kuupuuza, na akiamua kuupokea, then yuko huru kuutekeleza, au kuupokea na kuupuuza, na hata akiutekeleza, uamuzi huo ataifikia yeye mwenyewe, sio kwa kushauriwa au kushinikizwa.

Japo haijaandikwa popote, na sio wengi wanajua, maadam nchi ya Tanzania ni nchi ya vyama vingi siasa, Mlezi Mkuu wa Upinzania, ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia vyombo vyake, na ndio maana vyama capable, vinalipwa ruzuku na fedha za kodi zetu, hivyo siku ile lile jarida la mabeberu la The Economist liliposema Rais Magufuli amedhamiria kufuta upinzani Tanzania ufikapo mwaka 2020, mimi nilikanusha nikasema jarida ni waongo na wanasema uongo. The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Sasa kunapotokea uongo kama huo kusemwa, halafu ukaja kutokea kweli kwa Watanzania kuwakataa wapinzani, hivyo wakakichagua CCM pekee, hawa mabeberu wataendelea kutupigia kelele. Japo hawatutishi, na kelele zao hazitukoseshi usingizi, lakini kelele ni kelele tuu zikizdi zina disturb!.

Japo nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, na kanuni, lakini pia inaongozwa kwa tabia na desturi za utangulizi, precedent, sasa kwa vile tangu tumeanza mfumo wa vyama vingi, tumeongozwa na marais watatu, Ben Mkapa, (RIP), Jakaya Kikwete na sasa John Pombe Magufuli. Hao watangulizi wake wote wawili, waliteua wabunge angalau wawili wa upinzani kwenye kila awamu, kwa Mkapa kuwateua Hamad Rashid na Juma Duni, Kikwete kuwateua James Mbatia na ..., hivyo desturi ni kama tabia, hakuna ubaya na JPM awa hii akateua angalau wapinzani wawili, napendekeza mmoja awe Zitto Zuberi Kabwe na mwingine yule Dada aliyegombea urais, Quuen Sendiga, ili kuwafunga vilimilimi mabeberu kuwa JPM hapendi wapinzani.

Kufuatia Wapinzania kukataliwa na Watanzania, baada ya uchaguzi, kwanza tulipendekeza Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

Wapinzani waliposusa, nao tuliwaelimisha Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane! elimu hii ilimwingia Zitto Zuberi Kabwe hivyo nikaona Ziito pekee yake hataweza kuwashawishi Wanzanzibari kuelewa somo, ndipo nikamwandikia barua ya wazi rafiki yangu na mwana fani mwenzangu Mzanzibari Barua ya Wazi Kwa Comrade Ally Saleh, Uchaguzi Umekwisha, Yaliyopita Si Ndwele, Tugange Yaliyopo na Yajayo, Pelekeni Majina, Muijenge Zanzibar Yenu!
Kwa barua hiyo, somo likaeleweka na matokeo sote tunayajua.

Nimempendekeza Zitto kwasababu namfahamu his abilities and capabilities, Zitto ni mzalendo wa kweli Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
hivyo waliopanga kamati za oversight ziongozwe na opposition, wana maana yao, Zitto akiingia Bungeni na kuongoza PAC, kiukweli atasaidia sana Bunge, ataisaidia serikali na atalisaidia taifa.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Mnawaumiza sana akina Mbowe na Lissu nyie jamaa Pascal pata tot 2 hapo dukani ndugu yangu
 
Bandiko MOTO....😍😍

Binafsi ninaunga MKONO HOJA.....

Mh.Zitto Kabwe amejipambanua kuwa MWANASIASA flexible sitaki kusema kuwa ni mzalendo zaidi,laa hasha maana ninaamini WANASIASA wote walio vyamani ni WAZALENDO kwa sababu ya kusajiliwa kihalali.....

Kongole kwa Mh.Zitto Kabwe kwa kumuelewa vyema hayati BOUTROUS BOUTROUS GHALI(UN SG) na Yale maneno yake kuntu kuwa "only stupid people, do not change their minds".

Kongole sana kwa mh. ZZK na ACT kuifikia SUK....

Nakuunga mkono PM kwa pendekezo muruwa la mh. Zitto kuwepo ndani ya BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ili aendeleze KUCHANGAMSHA fikra TUNDUIZI.

Kijana muuza Al Kasus
Tandale
 
Back
Top Bottom