OMBI MAALUM: Je Unamfahamu Anayedaiwa Kubakwa Na Makamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OMBI MAALUM: Je Unamfahamu Anayedaiwa Kubakwa Na Makamba?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Dec 27, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,270
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  [h=3]OMBI MAALUM: Je Unamfahamu Anayedaiwa Kubakwa Na Makamba?[/h]
  MADA: YUSUPH MAKAMBA
  [​IMG]
  Wenye busara zao wanatuusia kuwa pindi ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo then sio wazo jema ku-entertain kurusha mawe.Mantiki ya msemo huo ni kwamba kama una ishu zenye utata katika maisha yako then sio wazo jema kuanza kushupalia ishu za watu wengi lest flani akakugeuzia kibao.


  Lakini usemi huo umeonekana hauna maana kwa Katibu Mkuu wa CCM,Yusuph Makamba,ambaye kwa siku kadhaa sasa ameamua "kuvalia njuga maisha binafsi ya Dokta Wilbroad Slaa" na kuligeuza suala la ndoa ya mgombea huyo wa Chadema kuwa ajenda ya uchaguzi.


  Pengine ni dharau au ujinga,Makamba alijisahau kuwa wakati anamnyooshea kidole Dkt Slaa,yeye mwenyewe (Makamba) alikuwa na doa linaloweza kabisa kumpeleka jela.Kwa mujibu wa taarifa zilizozagaa mtandaoni,Makamba anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wakati akiwa mwalimu mkuu wa shule moja na hatimaye kufukuzwa ualimu.


  Hizi ni tuhuma nzito sana kwani licha ya kumtia doa Makamba kama mwanasiasa,ni suala linaloweza kumpeleka jela endapo victim wake atajitokeza hadharani,na kupatiwa msaada wa kisheria.Lakini tukiweka ishu za kisiasa kando,hapa kuna suala la binti asiye na hatia ambaye inadaiwa alibakwa na mtu aliyekabidhiwa dhamana ya kumpatia elimu na mwongozo katika maisha yake,mwalimu wake,lakini akaishi kubakwa.


  Blogu hii inatoa ombi maalum kwa yeyote yule anayeweza kuipatia taarifa za uhakika kuhusu binti huyo anayedaiwa kubakwa na Makamba.Lengo si kumkomoa mtuhumiwa bali kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake as well as kutoa reminder kwa watu wengine wanaotumia vibaya dhamana walizokabidhiwa,iwe mashuleni,makazini au hata katika ngazi ya familia.


  Je unamfahamu binti anayedaiwa kubakwa na Makamba?Kama jibu ni ndiyo basi tafadhali sana tuwasiliane kwa barua pepe kwa anuani hii epgc2@yahoo.co.uk
   
 2. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Duh! hii si mchezo na ilikuwa tamu zaidi ingetoka wakati wa uchaguzi
  by the wy hata sasa inafaa. Ninachohisi huyo mtu atakuwa na umri
  mkubwa na watoto pia hivyo itakuwa ngumu kujitokeza au kukubali
  kutoa ushahidi vinginevyo kuwe na ahadi ya donge nono!
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Muacheni Mzee Makamba apumzike, amewaachia lichama lenu hangaikeni nalo!!
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watapumzika wasio na tuhuma.wenye kuleta urijali kwenye watoto wa wanaume wenzao ni nyundo tu.mpaka wanyooke.
   
 5. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  We mwana we! Yaani unataka kuniambia kuwa mzee huyu aliyethubutu kujifanya Pope wa Siasa na kumfungia msema hovyo wao wa sasa Nape MBINGUNI NA DUNIANI na yeye ni naniliu namna hiyo?

  Mnaonaje tupige donea kumtangazia donge nono mtoa taarifa ili hata ikibidi vipi victim mwenyewe amwage unga?
   
 6. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,803
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  mwalimu makamba... acha tusikie...
   
 7. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  usikute unaye mtafuta ndiye aliyekuzaa weye. mamao mengi yaache yapite zake.
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,078
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  si makamba tu wako wengi. Hata jk simuamini hata punje.

  naungana na wanajamvi wengine litangazwe donge nono. huenda kunawengine haka kamchezo atakuwa alikaanza siku nyingi na kunavictims wengi sana.
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tafuta thread za 2010 october, majibu yote yapo huko
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  ntamtafuta soon ntakuja na jina. inabidi ujue makamba alikuwa anafundisha shule gani na nani alikuwa mkubwa wake wa kazi. then tupate aliyekuwa mwenyekiti wa shule ndo atatueleza vizuri.
   
 11. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh hii dhambi haitamuacha huyu mzee mpaka pale atakapotubu.
   
 12. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hi thread haina mwelekeo na haina ubishi imeanzishwa kwa na maadui wa Januari na Mwamvita. Lakini jamii inaelewa chanzo cha ugomvi huu, kwa hiyo akina Makamba and co wala musijali.
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Alibaka hako kabinti mwaka gani?
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,270
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  miaka ya nyuma huko .makamba alikuwa anafanya kazi huko Kigoam akafukuzwa
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwani wabakaji wanafukuzwa kazi?? sio wanafungwa miaka 30 kama nguza na wanawe?
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mimi namfahamu, ni mama yake Tambwe hiza na hiyo mechi ya lazima ndo ilimzaa Tambwe Hiza. Ciao.
   
 17. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo kamili
   
 18. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280


  Hujiulizi uchaguzi wa mwaka jana ulimsikia akimpiga dongo slaa??? maana slaa alimuonya kua ukinyanyua mdomo wako tu nasema siri zako basi akaufyata kimyaaa
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapa ndio utajua kujulikana kwako ni matatizo hasa kwa jamii hii ya mtandaoni.. makambaaaa kumbe na wewe na nguza viking nilikuwa sijui..
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Alilazimisha gemu!!! ......
   
Loading...