Ombi langu kwenda kwa mh wa Monduli Edward Lowassa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
mheshimiwa kwa kweli ningekua na namba zako ningekupandia hewani ila naamini humu janvini kuna watu wenye contact zako watakufikishia ujumbe.

Ombi langu.

Mh kuna ile nyumba kama utakumbuka najua umeisha sahau, ulimjengea small house wako pale mitaa ya sanawari arusha jirani na ilipo sekondari ya enaboishu au bishop durning. Ile nyumba naambiwa yule small house wako aliikataa kwa sababu ambazo mimi c zijui but na wewe ukaamua kuitelekeza au kuipotezea na kwa sasa inakalibia miaka 18 tangia itelekezwe plae bila mtu kuishi ndani,

mheshimiwa mimi naiomba ile nyumba make kwa mimi itanifaa mno, kuliko ikae tupu miaka takribani 20 na kugeuzwa maficho ya vibaka na wala bangi,

mheshimiwa hilo ndo ombi langu, natanguliza shukurani
 
Wee SHETANI kwani unamdanganya nani, mbona uko mle tayari pamoja na hao vibaka, nyumba ndogo, na wala bangi.
We sema tu unataka maisha ya huyo unaye muomba ili ukae ndani yake.
 
wee shetani kwani unamdanganya nani, mbona uko mle tayari pamoja na hao vibaka, nyumba ndogo, na wala bangi.
We sema tu unataka maisha ya huyo unaye muomba ili ukae ndani yake.

mkuu kama huna cha kuandika kaa kimya, unatumia masburi kuandika?
Mimi nimetuma ombi anipatie ile nyumba niishi, make kuna uhaba wa nyumba sana na vipato vyetu ndo hivyo, na ile nyumba ilikamilika kila kitu isipo kuwa milango tu na kwa sasa ina miaka mingi sana,
 
Wee SHETANI kwani unamdanganya nani, mbona uko mle tayari pamoja na hao vibaka, nyumba ndogo, na wala bangi.
We sema tu unataka maisha ya huyo unaye muomba ili ukae ndani yake.

kwenye maisha usikalili njia moja tu mfano ukitaka kwenda tanga c razima upitie bagamoyo, theni mheza ndo uingie tanga, unaweza pita arusha ukaenda nairobi then Mombasa halafu ukaingia Tanga.

So hebu google neno satan make wewe unazania shetani ndo pekee anaitwa satan.
 
mheshimiwa kwa kweli ningekua na namba zako ningekupandia hewani ila naamini humu janvini kuna watu wenye contact zako watakufikishia ujumbe.

Ombi langu.

Mh kuna ile nyumba kama utakumbuka najua umeisha sahau, ulimjengea small house wako pale mitaa ya sanawari arusha jirani na ilipo sekondari ya enaboishu au bishop durning. Ile nyumba naambiwa yule small house wako aliikataa kwa sababu ambazo mimi c zijui but na wewe ukaamua kuitelekeza au kuipotezea na kwa sasa inakalibia miaka 18 tangia itelekezwe plae bila mtu kuishi ndani,

mheshimiwa mimi naiomba ile nyumba make kwa mimi itanifaa mno, kuliko ikae tupu miaka takribani 20 na kugeuzwa maficho ya vibaka na wala bangi,

mheshimiwa hilo ndo ombi langu, natanguliza shukurani

[hapo kwenye red]

wallahi akikupa hiyo nyumba atakupandia kifuani au masaburini na wewe utakuwa small house plus.
 
kwanza ni kwa sababu tu hujajua hii nyumbamheshimiwa alimjengea mama yako so akaikataa, jalibu kumdadisi atakwambia kila kitu
 
mkuu kama huna cha kuandika kaa kimya, unatumia masburi kuandika?
Mimi nimetuma ombi anipatie ile nyumba niishi, make kuna uhaba wa nyumba sana na vipato vyetu ndo hivyo, na ile nyumba ilikamilika kila kitu isipo kuwa milango tu na kwa sasa ina miaka mingi sana,

Majungu tu we lucifer,sasa kama unamwomba yeye kwa maana inshu ni kati yenu wawili why not write to him (mamuvi) personnally? una sababu gani kuleta jamvini? mtumie email ama nenda mwone physically!
 
Kwa hiyo umekubali uwe small house wake.
Usisahau kutupa mrejesho akishakukabidhi.
OTIS.
 
Hiyo nyumba umesema ilijengewa "small house", vipi upo tayari kuichukua hiyo nafasi ya kuwa "small house" wa mzee vile vile??
 
Bila shaka na wewe utakuwa umejiandaa kuwa small house, kwa maana ulivyoisimulia hii muvi, nadhani utakuwa unamfuatilia sana huyu EL
 
Wanamagamba mtauana bure kwasababu ya wa urais 2015. Sijui wewe uko kambi ya nani,la msingi achana hii maneno. Maana kama na wewe hauna bwana wa nje,kama ni wa kiume unao mahawara.
 
kwakweli najuta kwanini sikuijua jamii forumsa siku zote hizo. Kweli humu ndani kuna vituko sana. Mkuu nimecheka sana.
 
Back
Top Bottom