Wakuu habarini za saahizi,
Namwomba mheshimiwa Mwakiembe akikabiziwa ofisi mpya, ahakikishe ripoti ya ushunguzi wa tuhuma juu ya RC inamfikia mkulu.
Nawasilisha.
hakuana kitu kama hichoKama ni mzalendo aweke hiyo njaa yake pending.
Kwa jinsi ninavyowafahamu wapiga kura wake walivyo, asipowasilisha itakula kwake 2020.Kumbuka maudhi haya siyo dhidi ya upinzani tu bali ni ya woteananjaa wakati kapewa ili aende kudelete vizuri
hawajali tena form walichukua wenyewe .. acha wajikaange wenyeweKwa jinsi ninavyowafahamu wapiga kura wake walivyo, asipowasilisha itakula kwake 2020.Kumbuka maudhi haya siyo dhidi ya upinzani tu bali ni ya wote