Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 19
Ndugu Watanzania,
Ninawasalimu wote.
Ninaombeni mwenye Namba za/ya simu ya mezani ya Benki ya posta makao makuu (Ex-Telecoms Dar) au Email anitumie kwenye PM yangu au aniwekee hapa.
Pia kama kuna mwenye namba ya simu ya mkononi ya mfanyakazi wa mahali hapo au email naomba pia anitumie.
Nimepata tatizo kuwa nilituma fedha kwa njia ya Internet banking tangu tarehe 31 Julai; fedha hii imeshakatwa kwenye akaunti yangu, lakini mpokeaji pale Benki ya Posta Iringa mjini ameambiwa kuwa hazijaingia.
Nimetumia namba hii +255222110813 kutoka kwenye mtandao lakini ninaambiwa kuwa hii namba haipo.
Asanteni kwa msaada wenu.